Hivi kakobe naye ni mtabiri ck hz. Dunia inaelekea kubaya. Kakobe si yule yule mwaka 2005 alsema Mungu amemwambia rais wa nchi hii ni Mrema na akasema hatarudi kanisani mpaka azma hiyo ya Mungu itimie. Na akazunguka na Mrema kumnadi. Karudi lini tena kanisani. Jamani hakika huwa tunasahau matukio.