Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,129
Jamani hivi huyu mama hana wigi lingine..? toka nimeanza kumjus yeye ni wigi na staili hii hii tu khaaa!
wadada vp! mshaurini huyu supikaaaaaaaa
Jamani hivi huyu mama hana wigi lingine..? toka nimeanza kumjus yeye ni wigi na staili hii hii tu khaaa!
wadada vp! mshaurini huyu supikaaaaaaaa
Wigi la nini? Aonyeshe uhalisia wa nywele zake asilia zikitabirisha umri wake halisi ili aheshimike kisawasawa.
hakuna tatizo, nionavyo miye hiyo ni fashion tu anayoipenda, ikibadilika naye atabadilika
Hivi hamjui kuwa ana kipara?
Jamani hivi huyu mama hana wigi lingine..? toka nimeanza kumjus yeye ni wigi na staili hii hii tu khaaa!
wadada vp! mshaurini huyu supikaaaaaaaa