bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 2,855
- 4,552
Ndugu yenu nimenasa nimenasa hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Mwenzenu nimepata mtoto wa kutoka TANGA nimechelewa kuzijua raha za kidunia maana huyu mtoto.
Ana wivu balaa anapiga simu muda wote
Sipati muda wa kuongea na watu wengine ndo maana nilikuwa kimya hapa jukwaani
Watanga wako romantiki jamani khaaa.
Yeye ni kuchati tu muda wote na simu zinazopigwa hapo sio za nchi hii.
Bado sijapewa mbususu hapo,sijui itakuaje?
Sent from NOKIA YA TORCH