Anime

3d Animation sijaangalia kitambo na kama niliangalia nadhan huwa naludia Rango tuu
 
Shida ya hizi katuni hazina maadili
 
Browser na app vyote natumia
Nishakuambia hakinipiti kitu πŸ˜…πŸ˜…
Kwel haupitwi na kitu me ni mtalaamu wa Browser

Kwenye browser nenda kwenye message hiyo ya Mwananchi B Quote baada ya hapo nenda kwenye message ya kwanza pale juu bonyeza sehemu ya kuedit watakuletea sehemu ya insert Quote utaweka

Ili mtu aeelewa kabla hujaauote andika baadhi ya recommendations zilizotolewa na wadau then una insert Quote yako hapo chini
 
cheko na kutembea kwake 🀣
One of my Favourite characters.

Hapa wanafuatia.

1. Boa Hancock - Mtoto mkali ana Pozi sana huyu ila ni Very Deadly - (Warlord of Sea).

2. Marshall .D. Teach - Huyu mwamba muda wote anacheka na very unpredictable, Mpaka Leo sijui mwamba anawaza nini. (Emperor of the Sea).

3. Big Mom - Kwanza Picha linaanza ana Watoto 85, Huyu cheko lake lile "Mama mama." Ujue umeondoka. ( Emperor of the Sea)
 
Ukishatoa One peace mwingine anayenitia uvivu ni Black Clover πŸ˜ƒπŸ˜ƒila hii ngoja nijikaze week ijayo niishushe nianze mdogo mdogo episode 100+ sio powπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ha ha ha Mimi Black Clover nasubiria Muendelezo maana niliimaliza.

One Piece saizi inaendelea ila nasubiria zifike angalau 50 hivi ndio niendelee mdogo mdogo.
 
Ha ha ha Mimi Black Clover nasubiria Muendelezo maana niliimaliza.

One Piece saizi inaendelea ila nasubiria zifike angalau 50 hivi ndio niendelee mdogo mdogo.
Huwa una moyo wa kuzingojea zijae jae πŸ˜ƒπŸ˜ƒme hicho kipaji sinaπŸ˜ƒπŸ˜ƒSolo leveling baada ya S2Ep1 Nilitafuta manga ilipo nikasoma yote na bado ikawa ikitoka nipo nayo siku hiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…