Bro hata wakisema ni sawa lakini ukweli lazima tuseme, Mimi mambo ya siasa sijui sana, ila ebu Fikiri hao 20, niliopunguza watakuwa na hali gani sasa. Na kumbuka siyo Mimi peke yangu, bar karibu zote zimeshapunguza wengi na hawaajiri wapya.Bora ukae kimya.utaambiwa wewe mpiga dili.