Anguko la nchi hizi sasa ni dhahiri

Anguko la nchi hizi sasa ni dhahiri

Hapa namkumbuka marehemu Mtikila na aliyokuwa anayasema....hasa hasa siku za mwisho kabla ya uhai wake kukatishwa...@Mshanajr najua wajua kutunza kumbukumbu vyema.

Demokrasia ya kutaka mafisadi au vibaraka washike nchi sio demokrasia kabisa !!
 
Najua unalotaka kulisemea
 
Najua unalotaka kulisemea
Marehemu Mtikila amekuwa akizifuatilia kwa ukaribu siasa za Rais Paul Kagame na amekuwa akichukia mbinu zake za kuingiza wanyarwanda nchi zote za Afrika Mashariki na kati ikiwemo Kenya, Uganda, South Sudan pia Kongo na Burundi anakoendesha mapigano dhidi ya serikali zao ili kuchukua nchi.Kwa Suala la Tanzania, Mtikila alishaandika makala nyingi juu ya wanyarwanda kuingizwa nchini Tanzania katika mikoa ya kanda ya Ziwa na katika vyama vya siasa nchini kote hasa Chadema. Mfano:Chadema district chairman deported ya kuandika sana kuhusu mbinu za Kagame, na baada ya Tanzania kutuma kilichoitwa “the best special forces unit in Africa” wanajeshi hawa wa Tanzania walifanya kazi kubwa ya kuvuruga wa-Tutsi wanaounda kikundi cha M23 cha waasi wa Kongo. Rais Kagame akakasirika na kuunda mpango wa kuiharibia amani Tanzania ikiwa kama kulipa kisasi.Mbali na Kongo, Tanzania imeingilia mpango wa kabila hilo (Tutsi) kutawala Afrika Mashariki pale ilipoiingilia mgogoro wa Burundi na kumrudisha rais madarakani na kuvunja mipango ya Kagame na kabila lake. Ukiwa kama mpango wa muda mrefu, tukumbuke kwamba Tanzania ilisaidia sana wanyarwanda bila kuangalia tofauti ya makabila yao hivyo baina yetu wapo wanyarwanda watu wazima ambao wamesoma Tanzania na sasa ni watu wazima kati yetu. Kagame amepanga kuwatumia hawa watu kutuvuruga hasa kupitia CHADEMA, (soma:The Infiltration of Tanzania’s Main Opposition Party by Kagame’s Agents Threatens Regional Stability ) lengo kuu likiwa kukataa matokeo ya uchaguzi ya mwaka 2015 na kuanzisha fujo na hoja hii imebebwa na JOHN MNYIKA na HALIMA MDEE. Tuwasikilize kwenye mikutano yao. CHADEMA IMEMEZESHWA AGENDA YA KUVUNJA AMANI: moja ya sababu ya kweli ya kumtoa Zitto Kabwe Chadema ni suala la kukubali mapatano ya Tanzania na Rwanda maana hicho sio anachokitafuta Kagame na vibaraka wake aliowaweka ndani ya chama.Marehemu Mtikila amekuwa akimuudhi Kagame na kwa kuwachukua na kuwapa hifadhi wanyarwanda waliosimamia ukweli ikiwemo “Dr. Jean Bosco …” ambaye Lowassa kaandaa vijana wa kumchafua kuwa ndiye aliyetumwa kumuua Mtikila. Lowassa kama wote tunavyojua amekuwa na uhusiano na Kagame toka akiwa CCM na baada ya kushindwa alihamia Chadema akiendeleza uhusiano huo wa kilanguzi.Lengo kuu la Kagame ni kuhakikisha Tanzania inakuwa kwenye machafuko hata ya muda mfupi ili aweze kupata unafuu wa kuichukua Burundi na kisha kurudi Tanzania kuendeleza uasi.

Kifo Cha Mtikila Chaibua Mengi Juu ya Lowassa na Kagame Kutaka Kumilikisha Nchi ya Wa-Tutsi
 
Nimekuwa mtabiri mzuri sana
 
Huna haja ya kubana pua basi..hebu ongea kama mwanaume halafu usikimbilie kuchangia kama unakuwa hujakielewa kitu

mchane mazafanta huyo ambaye yeye kila kitu kwake analeta siasa badala ya logic zenye mantiki
 
mng'ato hawa hawapori ardhi direct bali kupitia wao wanajenga himaya kwa kuweka watu wao kila nchi na taratibu na kwa mahesabu makali sana wanaweka watendaji wao kisha wafanya biashara na uwekezaji mkubwa vyote vinakuwa ndani ya mtandao wao...wanakuwa na maslahi yao kwenye kila wizara muhimu ya kila nchi
Sawa mkuu ila swali langu moja tu, hivi kama sisi ma layman tuna taarifa hizi, hivi vyombo vya usalama hudhani kua vina tons of informations? Je unadhani hilo linawezekana vp kupanua empire wakati vyombo husika vinafaham kila kitu kinacho endelea?
 
Vinajua na Vinajua zaidi ya hapo lakini utashi na utayari wa kuyapinga au kuyaweka wazi hakuna...wengi waneteuliwa kulinda tawala tunazozisema hivyo hujiangalia yeye zaidi na maslahi yake kuliko maslahi mapana ya nchi
 
Daah Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
Huna haja ya kubana pua basi..hebu ongea kama mwanaume halafu usikimbilie kuchangia kama unakuwa hujakielewa kitu
achana nae mkuu yeye kaelewa hapo tu uliposema upinzani ila hajaelewa point ya uzi wako,kimsingi mkuu uweongea kitu kizur sana...kenya ndo maana wako vizuri pia kwa mfumo wao wasiasa walionao inakuwa easy sana kumuwajibisha mkosaji tofauti na hapa kwetu.....ukitk ujue hii jumuiya ya east africa ni uzinguzi tu angalia kesi ya usuluhishi burundi akapewa museveni yaan kesi ya nyani hakimu ngedere
 
Kweli kabisa hasa hii kesi usuluhishi kupewa Museveni nilibaki kinywa wazi
 
da23478bb8b0e7e2e108e68db40e1aaf.jpg
Inawezekana kabisa kuwa hii ikawa ni coincidence lakini future will tell
hahahaaa.......aisee heri niendelee na ujasiriamali aisee mana huku kwe siasa ni kuongeza tu idadi za dhambi
 
Back
Top Bottom