Anguko la nchi hizi sasa ni dhahiri

Anguko la nchi hizi sasa ni dhahiri

Kweli nchi hizi tatu kuingizwa kwenye EAC ilikuwa ni pre-mature. Zingepewa observer status mpaka siweke viziri nyumba zao kwanza. Lakini sikubalinani na wewe kuhusu Zimbabwe. Kilichoiangusha Zimbabwe siyo siasa bali ni kutenda kinyume na matakwa ya mataifa makubwa, hasa walipotwaa mashamba ya wazungu. Vikwazo viliwekwa hili kuiadhibu serikali ya Mugabe na kuzipa somo nchi jirani za South Africa na Namibia ili ziepuke njia ya Zimbabwe. Mugabe alikataa kukiuka ahadi alizowapa wapigania uhuru wenzake za kurudisha ardhi iliyoporwa na wazungu kwa Wazimbabwe wazalendo. He has paid the price. But Zimbabwe will rise again. Pamberi ne Chimurenga.
Nakubaliana na wewe kwa sehemu tuu kwakuwa nyingi zaweza kuwa excuse za kujihami tuu vyovyote iwavyo si sahihi mpaka sasa Mugabe kuwa rais as if hakuna mwingine yoyote anayeweza hiyo nafasi
Ishu ya mashamba kwanza hayakutolewa kwa usawa na kwa watu sahihi..mengi yaligawanywa kiushkaji kindugu kujuana na fadhila ndio maana mengi yaliishia kuwa mapori ...hakukuwa na maandalizi ya kutosha kuhusu hilo
Ngoja hii ishu ya Zimbabwe tuiweke kiporo kwanza
 
Ni Kenya pekee ndio wanaweza kusimama kifua mbele na kujivunia demokrasia na usawa. ..ni wao tu ambao chama kilichopo madarakani ni chama cha upinzani

TU JITAFAKARI
ina maana kenya chama hichohicho ndo cha upinzani afu hichohicho ndo kilichoko madaraka afu ndo chama tawala?!
 
Nazizungumzia Uganda Burundi na Rwanda
Kwanza ni nchi zenye muingiliano wa mengi yanayojulikana na mengi pia yaliyojificha
Lakini kitakachoziangusha ni u binafsi uroho wa madaraka visasi na hofu ya watawala wa sasa
Tumeona kilichotokea Uganda kwenye uchaguzi mkuu uliomalizika tumeona ya Burundi, Rwanda bado hali si mbaya sana
Zimbabwe ya miaka ya 90 ilikuwa inakimbiza kiuchumi, sarafu yao ya Zimdollar ilikuwa na thamani kubwa uroho huu wa madaraka umeifanya Zimbabwe ifike ilipofikia sasa
Nchi nilizotaja ni wanachama ndani ya jumuiya ya Africa Mashariki, kuna tatizo kubwa sana tunalifuga hapa mana naona hakuna kuambizana ukweli wala kukemeana
Museveni kashinda kwa hila za wazi kabisa kama ilivyokuwa hapa kwetu...lakini sikuona ndani ya jumuiya akikemewa na yeyote
Mbaya zaidi tumeikaribisha Sudan kusini kwenye huu umoja, matatizo ya Sudan kusini yanaeleweka yanafanana kwa kiasi kikubwa na nchi nilizotaja
Kuwa na washirika wa namna hii ndani ya jumuiya sidhani kama ni jambo lenye afya sana
Tuwe makini tusije kupumbazwa na umoja wenye maslahi binafsi toka kwa viongozi wetu
Ni Kenya pekee ndio wanaweza kusimama kifua mbele na kujivunia demokrasia na usawa. ..ni wao tu ambao chama kilichopo madarakani ni chama cha upinzani. ..kwengine kote upinzani unaminywa kwa nguvu ya ajabu na ukatili mkubwa mno
Anguko lolote kwenye hizo nchi litakuwa na athari za moja kwa moja ndani ya jumuiya

TU JITAFAKARI

Mbona hujaiweka na Tanzania ktk hilo anguko wakati umeshasema nako kuna ubinafsi na uroho wa madaraka ilhali zote ni nchi zilzo ktk Jumuiya ya A mashariki?
Nini kifanyike mahususi ktk kutatua tatizo,hujatueleza sawasawa?
 
fega fega huu ni mjadala yeyote anaweza kusema chochote
 
ina maana kenya chama hichohicho ndo cha upinzani afu hichohicho ndo kilichoko madaraka afu ndo chama tawala?!
Kwa muktadha wa kisiasa KANU haipo tena kwenye tamani ya siasa za Kenya KIBAKI alikuja kuharibu hali ya hewa lakini sasa wanaenda vizuri
 
Nazizungumzia Uganda Burundi na Rwanda
Kwanza ni nchi zenye muingiliano wa mengi yanayojulikana na mengi pia yaliyojificha
Lakini kitakachoziangusha ni u binafsi uroho wa madaraka visasi na hofu ya watawala wa sasa
Tumeona kilichotokea Uganda kwenye uchaguzi mkuu uliomalizika tumeona ya Burundi, Rwanda bado hali si mbaya sana
Zimbabwe ya miaka ya 90 ilikuwa inakimbiza kiuchumi, sarafu yao ya Zimdollar ilikuwa na thamani kubwa uroho huu wa madaraka umeifanya Zimbabwe ifike ilipofikia sasa
Nchi nilizotaja ni wanachama ndani ya jumuiya ya Africa Mashariki, kuna tatizo kubwa sana tunalifuga hapa mana naona hakuna kuambizana ukweli wala kukemeana
Museveni kashinda kwa hila za wazi kabisa kama ilivyokuwa hapa kwetu...lakini sikuona ndani ya jumuiya akikemewa na yeyote
Mbaya zaidi tumeikaribisha Sudan kusini kwenye huu umoja, matatizo ya Sudan kusini yanaeleweka yanafanana kwa kiasi kikubwa na nchi nilizotaja
Kuwa na washirika wa namna hii ndani ya jumuiya sidhani kama ni jambo lenye afya sana
Tuwe makini tusije kupumbazwa na umoja wenye maslahi binafsi toka kwa viongozi wetu
Ni Kenya pekee ndio wanaweza kusimama kifua mbele na kujivunia demokrasia na usawa. ..ni wao tu ambao chama kilichopo madarakani ni chama cha upinzani. ..kwengine kote upinzani unaminywa kwa nguvu ya ajabu na ukatili mkubwa mno
Anguko lolote kwenye hizo nchi litakuwa na athari za moja kwa moja ndani ya jumuiya

TU JITAFAKARI

naomba niku quote hapa chini

"museveni kashinda kwa hila za wazi kabisa kama ilivyokuwa hapa kwetu...lakini sikuona ndani ya jumuiya akikemewa na yeyote "

hiyo paragraph yako niliyoquote imebeba jibu la kitu unachokalamikia, ww mwenyewe unakir kuwa hao unaotaka wamkemee nao wanaashinda kwa hila.. so what do u
expect..
 
kote na kwetu.hatuna tofauti sana.huku kwetu ss wananchi tumekua vilaza sana.ndio maana ata ziwa nyasa si letu.kilimanjaro.na
 
Kwa maana hii basi hii ni jumuiya ya walafi wa madaraka kwa manufaa yao ni si kwa ajili ya ustawi wa jamii nzima inayotumiwa Kufanikisha malengo yao
Kesho na keshokutwa Kenyata naye akiamua kufanya yake hakuna wa kumnyooshea kidole..!
Kinachoumbwa sasa ndani ya hii jumuiya ni kitu kitakachokuja kuleta shida kubwa sana huko tuendako
 
Maslahi ya Museveni Sudan kusini yanaeleweka wazi..anapanua himaya yake kwa namna zote awezavyo, Kagame kwa Burundi. ...ni umoja uliojaa migogoro kati ya nchi jumuiya wanachama , kuna kuoneana na kufanyiana fitina kwingi tuu
Kimsimgi huu ni umoja wa washindwa wenye kuwakilisha maslahi binafsi zaidi hasa ya kisiasa kuliko wananchi

KABISA MKUU tutaendeshwa puta kweli maana democracy inazidi kupindishwa kateswa sana Besigye halafu udai uchaguzi huru ule
Tz kidogo 2015 mamvi wamemuogopa zaidi ya huo ufigisu wa kuiba kura tathmini 2010 mabomu kila mkutano wa upinzani yalitawala
HIZI NCHI ZETU AFRIKA MASHARIKI ACHA KENYA AZIDI KUSONGA MBELE TU
 
Nina mashaka mno Magu ana vinasaba vya hao wenzake
Na washangaa viongozi wengi wa Afrika! Nikianzia nchi kama Burundi, Uganda, Zimbabwe na Rwanda! Hao wanaweza kukuambia expert kufanya kazi nchini ni miaka miwili lakini baada ya hapo atakuwa amewafundisha wazawa! Sasa ikifika wakat wao wa kuachia madaraka hata kama wameongoza kwa miaka 10 wanaona hakuna mrithi wao! Naona hatuko makini waafrika hasa kwenye demokrasia
 
Nashangaa sana kuona nchi nyingine zikijadilliwa wkt uchaguzi wa kilimbero, dar na sasa zanzibar figisufigisu zake zinaonekana, viongozi wote wa EA wanafanana mitizamo yao khs wapinzani. Museveni na Kagame hawawezi kuruhusu wapinzani wakamate nchi wanaona wao ndio wameleta uhuru, Amani na maendeleo kwenye nchi zao lkn je sisi hapa hatukusikia zanzibar watu wakisema Zanzibar haikupatikana kwa makaratasi Maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba viongozi wote wa EA wanaamini bila wao na vyama vyao basi nchi zao haziwezi kutawalika. Halafu leo hii nikisikia mtu anaongelea mambo ya kurudisha empire ya zamani na kwa hii level yetu ya usomi hua nashangaa sana, hivi kweli leo kuna mtu anaamini kuna nchi inaweza kwenda kuchukua ardhi ya nchi nyingine kirahisi rahisi tu, kama ziwa nyasa tu limeleta shida kiasi hiki je kuchukua kipande cha ardhi cha nchi nyingine inaweza kuna vp. Angalia Urussi zamani USSR ilivyolazimisha kuchukua sehemu ya Ukraine shida iliyoipata kutoka jumuiya ya kimataifa na kumbuka ile ni super power lkn cha moto inakipata. Sasa inawezekana vp hizi nchi maskini eti zikarudisha ufalme wake wa zamani hizo ni ndoto za alinacha tu.
 
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] iko safi?
*hongera ZAMBIA
*hongera MALAWI
PEKEE ndizo nchi ambazo zina democrasia SAFI YA WAZI HURU
MUNGU AZIBARIKI SANA.
 
Nashangaa sana kuona nchi nyingine zikijadilliwa wkt uchaguzi wa kilimbero, dar na sasa zanzibar figisufigisu zake zinaonekana, viongozi wote wa EA wanafanana mitizamo yao khs wapinzani. Museveni na Kagame hawawezi kuruhusu wapinzani wakamate nchi wanaona wao ndio wameleta uhuru, Amani na maendeleo kwenye nchi zao lkn je sisi hapa hatukusikia zanzibar watu wakisema Zanzibar haikupatikana kwa makaratasi Maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba viongozi wote wa EA wanaamini bila wao na vyama vyao basi nchi zao haziwezi kutawalika. Halafu leo hii nikisikia mtu anaongelea mambo ya kurudisha empire ya zamani na kwa hii level yetu ya usomi hua nashangaa sana, hivi kweli leo kuna mtu anaamini kuna nchi inaweza kwenda kuchukua ardhi ya nchi nyingine kirahisi rahisi tu, kama ziwa nyasa tu limeleta shida kiasi hiki je kuchukua kipande cha ardhi cha nchi nyingine inaweza kuna vp. Angalia Urussi zamani USSR ilivyolazimisha kuchukua sehemu ya Ukraine shida iliyoipata kutoka jumuiya ya kimataifa na kumbuka ile ni super power lkn cha moto inakipata. Sasa inawezekana vp hizi nchi maskini eti zikarudisha ufalme wake wa zamani hizo ni ndoto za alinacha tu.
mng'ato hawa hawapori ardhi direct bali kupitia wao wanajenga himaya kwa kuweka watu wao kila nchi na taratibu na kwa mahesabu makali sana wanaweka watendaji wao kisha wafanya biashara na uwekezaji mkubwa vyote vinakuwa ndani ya mtandao wao...wanakuwa na maslahi yao kwenye kila wizara muhimu ya kila nchi
 
Back
Top Bottom