Anguko la kihistoria limekaribia

Anguko la kihistoria limekaribia

20241224_220046.jpg
 
Wanakataa kuvitambua kama vikao vya CCM ngazi ya Wilaya na mkoa siyo vikao vya mchujo bali ni "MNADA WA UBUNGE"
Kwa maana nyingine mkurugenzi,.. ni kwamba vikao vya Wilaya na Mkoa ni non-functional.....🤣🤣
 
Ccm haiwezi anguka mkuu!

Kabla haijaanguka humuangusha anaetaka kuangusha chama!

Kupotea potea na spinning ni dalili za kuokoa chama kisianguke!!

October nita tick
 
No man will be buried uncircumcised, as long as I am working in the mortuary.

Nitawakeketa naapa.

Cc: Intelligent businessman
Your current life is shaped by the things you consistently focus on.
Not your parents. Not your upbringing. If you’re still pointing fingers at them, perhaps you’re just dodging a hard look at yourself.
 
Yes. Surely, and you?
 
Kila unachokiona ni calculated move, watu wanapiga hesabu kali sana za 2030. Watu wanachonga njia ili ikigika mseme huyu ndio anafaa si unakumbuka alifanya hivi na vile. Akili zipo kwenye usukani
 
Kila unachokiona ni calculated move, watu wanapiga hesabu kali sana za 2030. Watu wanachonga njia ili ikigika mseme huyu ndio anafaa si unakumbuka alifanya hivi na vile. Akili zipo kwenye usukani
Hisabati si ndio hivyo mkuu yaan Hesabu za Mathematics?
 
Hisabati si ndio hivyo mkuu yaan Hesabu za Mathematics?
Wanajua wenyewe mkuu, ila ninachokijua hawa jamaa wanjua kutengeneza mtu hata wa miaka 5+ kwa kutumia upepo uliopo. Watu washaudoma upepo, system iliyopo inawatema, kwahio wanapiga hesabu za mbaali sana, wanawaaminisha watu kuwa wao pia hawakubaliani na wanajitoa. Wanatengeneza hisia za kuaminika machoninpa watu. Sa badala wakose leo na kesho bora wakose leo ila kesho yao iwe safi. Kama wangekua sehemu ya maslahi usingewaona waona wako na misimamo walio nayo. Zinapigwa hisabati za kibabe sana, mixer kujilupua, ila zote ni smartly calculated move
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom