Anguko la January Makamba

huyo kijana anatamani uwaziri nishati na madini mnafiki tu.

Kumbukeni kuwa ana deni la $ millioni moja alizokopeshwa na shemejie alizotumia kumuondoa Shelukindo na bado hajazilipa; akipata huo uwaziri kwanza hawezi kusafiri kwenda U.S.A. kwani ana kesi [cyber crime] na mtoto wa Rockfeller anamgoja akitua tu akamatwena pili itabidi aanze na wizi kama Ngeleja na Maige ili kupata mshiko wa kulipia deni!! Sasa mambo ndio hayo nchi itaendelea kweli?
 
Acts 13:36 – “For when David had served God's purpose in his own generation, he fell asleep; he was buried with his fathers and his body decayed

Ni ukweli usiopingika kwamba kila kizazi kinahitaji kiongozi wake. Hiyo ni kwa sababu kila kizazi kina matatizo yake, maono yake, na matakwa yake. Ni ukweli usiopingika kwamba kizazi cha Tanzania leo hii kina kiu ya kiongozi wake.

Kwa muda ilionekana kama vile kuna vijana wawili – January Makamba and Zitto Kabwe, ambao walikuwa tayari kubeba jukumu la kusimama kama nyota ya uongozi wa kizazi kipya. Kili mmoja wetu anajua kilichojiri Bungeni hivi karibuni, hasa uamuzi wa January Makamba kupingana na hatua aliyoingoza Zitto Kabwe ya kudai uwajibikaji serikalini.

Ni dhahiri, ingawa wengine wanaweza kuwa na maoni tofauti, kwamba January amejiweka katika wakati mgumu kisiasa, hasa mbele ya vijana waliomtegemea.

Kwa muda January Makamba aliweza kung’ara katika anga za siasa Tanzania kwa sababu ya uwezo wa kupambanua mambo. Lakini kilichotokea Bungeni kimedhihirisha kitu kimoja – uwezo wa January kupambanua mambo na kutoa kauli “zilizoenda shule” peke yake hakumfanyi mtu kuwa kiongozi na shujaa wa kizazi chake. Kuna wakati na mazingira yanamtaka kiongozi kudhihirisha mawazo na moyo wake ulipo.

Pale Bungeni, wakati huo ulitokea na bahati mbaya sana January akaugopa wakati huo.

Pale mjengoni, January Makamba alidhihirisha kwamba mawazo yake na moyo wake yako mbali kama Mashariki iliyo mbali na Magharibi. Na ndio maana dhana ya “unafiki” inamzonga January. Katika utetezi wake, January Makamba aliandika hiki hapa chini:

"I can disagree with Zittokabwe on methods to reach the same objectives, and we are still brothers"

Mpaka leo sijasikia chochote toka kwa January kuhusu njia mbadala (tofauti na njia aliyopendekeza Zitto Kabwe) ya kuleta uwajibikaji serikalini. Kwa mantiki hiyo, hiyo kauli yake hapo juu ilikuwa ni jitihada tu ya kuzima zengwe na jinamizi la kisiasa linalomkabili.

What a waste.

January is the future hope for this great nation
 
Mchambuzi;3779857]
Je, ana tofauti gani na wabunge wenzake wa CCM ambao katika jambo kama hili na nyakati kama hizi, wana achana na siasa za vyama na kuweka maslahi ya taifa mbele? Unasema kwamba 'if he was in opposition he would say a lot and that i should believe you'. Naomba nikueleze tu kwamba maana ya opposition ni hii: "The action of opposing something that you disapprove or disagree with"; Je kwa mtazamo wako, January agrees and approves of what Zitto and other 70 or so Wabunge from various political parties, disapprove and disagree with? January ametuangusha vijana ambao tulikuwa tunamwamini sana. Sisi vijana mitaani ambao tumekuwa tunamtetea tunajificha wapi sasa. Angalau basi ange abstain kama wengine wengi walivyofanya kwani he had nothing to loose. But him being actively involved means anashindwa kutofautisha kati ya activity and productivity katika siasa za ushindaniSioni
tatizo kama January angesimama na kutoa hoja kwanini hakubaliani na Zitto kwasababu mawazo mbadala ni kitu kisIchoepukika. Tatizo ni pale alipoenda mbali na kuikashifu hoja ya Zitto kwa misingi ya kisiasa au chuki au fitna bila kueleza mbadala wa kulinusuru taifa

Tuliwahi kusema January hakuwa katika A list ya taifa hili. Alipokuwa anashughulikia suala la umeme ambalo yeye ni 'beneficiary' tulijua ni kiini macho na ni suala la muda tu unafiki ungejitokeza. Baba yake alikuwa swahiba wa mapacha watatu, ni ajabu kama Jauary angemsaliti mzee wake na chama chake kilichogharamia elimu yake kwa kodi zetu.

Ninafurahi kuwa January bila kujua amejitokeza kuwa shahidi wetu sisi tunaoamini katika mawazo, mtazamo, fikra, hekima na vitendo tukipangana na wenzetu wanaoamini Jinsia, umri na itikadi za kijamii.

January ni miongoni mwa vijana pengine walioangaliwa kama 'role model' (mimi sijawahi kumona hivyo).
Busara, hekima na uwezo wake wa kutathmini, kufikiri na kuamua umeonyesha wazi kuwa taifa hili halihitaji umri a.k.a vijana. January ni sehemu ya akina Maige, Marsha, Ngeleja na akina Kigwangala wanoamini serikali inafanya kazi nzuri.
Ni sehemu ya vijana wengi walio ndani ya bunge na waliojificha bila uthubutu wa kusema hiki sawa au kile hapana.

Sijui kama tunahitaji ushahidi zaidi kuwa uongozi ni hekima, busara, mtazamo, fikira na vitendo na si UJANA.
 
january was my first choice tena mbele ya ZITTO
ILA KWA SASA NAONA NAFUU UWE NA WATU KAMA SOFIA SIMBA kuliko kuwa na JANUARI

JANUARI kajiaribia sana na kwa kifupi kajimaliza sitokaa nimwamini tena

Afadhali ya L. Lusinde!!!!!!!!!!!11111

big up zitto

Afadhali ya L. Lusinde!!!!!!!!!!!
 
Ndo utamu wa upinzani. Kupingana bila kupigana. January yuko sahihi na bado ni mpiganaji wa kizazi hiki. Let us not demonize him too much. Kuna wakati tulim-demonize sana Zitto ghafla tunamwona ni nyota. Tukubali sote ni binadamu na wakati mwingine hatuko consistent. Nadhani tukio la Dodoma haliamui hatima ya January kihivyo wana JF wengi mnavyoliweka. Too much obsession benumbs objectivity on how we look at things. The worst time to make worst judgement is when you are emotional. Most of us are charged with the account of what happened in DDM and we think the only rational way for any MP was to sign the petition for a motion to unseat the PM. In this charged environment no anyone of us would have thought of another option. Makamba seems to have an option but based on what I have said above the timing to suggest that option may not be right.

So January, Zitto, Filiku(something), Esther, Mnyika and the likes are the youth icons Tanzania should be proud to have produced in this generation. I would encourage them to have non-partisan informal meetings to share their genuine convictions and especially on what they want to do for this country. Being on different political camps does not render them impossible to meet, argue, agree and agree to disagree. This country will not be built by dogmatic thinking. We will only move forward if we nurture constructive conflicts. Tanzania needs some sort of conflict to progress (sina maana ya bloodshed). We will not develop if when we woke in the morning without differing ideas/options to resolve our problems. The differing ideas have to compete and the best is adopted from individual level to institutional level. You won't have the best idea if you do not have the worst. You won't choose if there are no choices, and to choose you have to go through the conflict process. What survives thereafter is the best and strongest option.

So again wanaJF let us nurture the conflict spirit be it at home, work places and especially in politics. If we avoid conflicts we are in a way avoiding development. We need constant agitations, we need to be challenged and this should be a new culture. Whoever comes to power if she/he doesn't deliver the seat he/she seats on will be hot and eventually she/he will be ejected.

This is too long.......kama unaamini hivi ungeweka tu uwezo wake wazi kama tujuavyo uwezo wa hao unaomuambataanisha noa kama ICONS basi......

Na hapo kwenye blue ndo umemmaliza kabisa............hajapitia yoooteeee hayo ndo maana maswali yakuwa mengi kuliko majibu
 
hivi kuna ulazima gani wa watoto nao kuwa viongozi kama baba zao..hapo ndipo ninapopata kichefuchefu..kwani hakuna wengine wa kuongoza..tumejaa tele lakini kubaniana na kupeana nafasi kwa vilaza ndio kunaendelea..

jamani, mkuu wa kaya hana tena mawaziri zaidi ya hawa wanaochonga sana runingani. sintashangaa sana February, ooops sorry, January kuwa waziri wetu wa nanihii..... subiri list hiyo inakuja very soon.
 
Acts 13:36 – “For when David had served God's purpose in his own generation, he fell asleep; he was buried with his fathers and his body decayed

Ni ukweli usiopingika kwamba kila kizazi kinahitaji kiongozi wake. Hiyo ni kwa sababu kila kizazi kina matatizo yake, maono yake, na matakwa yake. Ni ukweli usiopingika kwamba kizazi cha Tanzania leo hii kina kiu ya kiongozi wake.

Kwa muda ilionekana kama vile kuna vijana wawili – January Makamba and Zitto Kabwe, ambao walikuwa tayari kubeba jukumu la kusimama kama nyota ya uongozi wa kizazi kipya. Kili mmoja wetu anajua kilichojiri Bungeni hivi karibuni, hasa uamuzi wa January Makamba kupingana na hatua aliyoingoza Zitto Kabwe ya kudai uwajibikaji serikalini.

Ni dhahiri, ingawa wengine wanaweza kuwa na maoni tofauti, kwamba January amejiweka katika wakati mgumu kisiasa, hasa mbele ya vijana waliomtegemea.

Kwa muda January Makamba aliweza kung’ara katika anga za siasa Tanzania kwa sababu ya uwezo wa kupambanua mambo. Lakini kilichotokea Bungeni kimedhihirisha kitu kimoja – uwezo wa January kupambanua mambo na kutoa kauli “zilizoenda shule” peke yake hakumfanyi mtu kuwa kiongozi na shujaa wa kizazi chake. Kuna wakati na mazingira yanamtaka kiongozi kudhihirisha mawazo na moyo wake ulipo.

Pale Bungeni, wakati huo ulitokea na bahati mbaya sana January akaugopa wakati huo.

Pale mjengoni, January Makamba alidhihirisha kwamba mawazo yake na moyo wake yako mbali kama Mashariki iliyo mbali na Magharibi. Na ndio maana dhana ya “unafiki” inamzonga January. Katika utetezi wake, January Makamba aliandika hiki hapa chini:

"I can disagree with Zittokabwe on methods to reach the same objectives, and we are still brothers"

Mpaka leo sijasikia chochote toka kwa January kuhusu njia mbadala (tofauti na njia aliyopendekeza Zitto Kabwe) ya kuleta uwajibikaji serikalini. Kwa mantiki hiyo, hiyo kauli yake hapo juu ilikuwa ni jitihada tu ya kuzima zengwe na jinamizi la kisiasa linalomkabili.

What a waste.

you re right tena sana..angeungana na zitto bado angeitwa barazani..lkn hata huko aliko sasa yu kitanzini na sis huku kumng'oa ktk list ya ya wapigani, badala yake atafanya kama maige, aibe..ni wakati wa mwisho personality kwishaaa
 
Ndo utamu wa upinzani. Kupingana bila kupigana. January yuko sahihi na bado ni mpiganaji wa kizazi hiki. Let us not demonize him too much. Kuna wakati tulim-demonize sana Zitto ghafla tunamwona ni nyota. Tukubali sote ni binadamu na wakati mwingine hatuko consistent. Nadhani tukio la Dodoma haliamui hatima ya January kihivyo wana JF wengi mnavyoliweka. Too much obsession benumbs objectivity on how we look at things. The worst time to make worst judgement is when you are emotional. Most of us are charged with the account of what happened in DDM and we think the only rational way for any MP was to sign the petition for a motion to unseat the PM. In this charged environment no anyone of us would have thought of another option. Makamba seems to have an option but based on what I have said above the timing to suggest that option may not be right.

So January, Zitto, Filiku(something), Esther, Mnyika and the likes are the youth icons Tanzania should be proud to have produced in this generation. I would encourage them to have non-partisan informal meetings to share their genuine convictions and especially on what they want to do for this country. Being on different political camps does not render them impossible to meet, argue, agree and agree to disagree. This country will not be built by dogmatic thinking. We will only move forward if we nurture constructive conflicts. Tanzania needs some sort of conflict to progress (sina maana ya bloodshed). We will not develop if when we woke in the morning without differing ideas/options to resolve our problems. The differing ideas have to compete and the best is adopted from individual level to institutional level. You won't have the best idea if you do not have the worst. You won't choose if there are no choices, and to choose you have to go through the conflict process. What survives thereafter is the best and strongest option.

So again wanaJF let us nurture the conflict spirit be it at home, work places and especially in politics. If we avoid conflicts we are in a way avoiding development. We need constant agitations, we need to be challenged and this should be a new culture. Whoever comes to power if she/he doesn't deliver the seat he/she seats on will be hot and eventually she/he will be ejected.

Kama unafikiri wanaosema this is the end of the guy let us wait and see what he will achieve. Si amepewa madaraka kwenye wizara ambayo alikuwa akipiga kelele kila kukicha!!!!!. Atakutana na mikataba mizito iliyofungwa kifisadi ukicheza vibaya tu serikali inawajibika kuwalipa hao mafisadi pesa za ajabu. Kwanza atakutana na system ambayo imeoza je ataweza kufumua uozo uliojaa huko. Umeme na madini zitaendelea kuwa sekta ambazo mchango wake kwa uchumi wa nachi na kwa wananchi ziatkuwa na maswali mengi!!!! Let us go for magwanda and runaway from the Magamba's
 
january was my first choice tena mbele ya ZITTO
ILA KWA SASA NAONA NAFUU UWE NA WATU KAMA SOFIA SIMBA kuliko kuwa na JANUARI

JANUARI kajiaribia sana na kwa kifupi kajimaliza sitokaa nimwamini tena

big up zitto
Nimependa hapo kwenye red... kimsingi nakubaliana nawe mkuu
 
Kumbukeni kuwa ana deni la $ millioni moja alizokopeshwa na shemejie alizotumia kumuondoa Shelukindo na bado hajazilipa; akipata huo uwaziri kwanza hawezi kusafiri kwenda U.S.A. kwani ana kesi [cyber crime] na mtoto wa Rockfeller anamgoja akitua tu akamatwena pili itabidi aanze na wizi kama Ngeleja na Maige ili kupata mshiko wa kulipia deni!! Sasa mambo ndio hayo nchi itaendelea kweli?

Mkuu nasikia dada yake aligongwa kitaalam na huyo mzungu. na kuna sms ilinaswa, naweza ipata hiyo sms.
 
Na sasa ameingizwa kwenye cabinet, sijui tutarajie nini
 
Guys, give him the benefit of the dough, try him first and lets what the outcome will be keep in mind that, this's his very first cabinet post and I dont think we're doing him any favour(dont mean that he needs it) by judging him waaay front without seeing him doing anything yet. Acheni ulolani(whtvr that means), mnajiita GREAT THINKERS, do you really think first before touching tht keyboard? WHT I THINK IS... give him a little time FIRST, let him at least put drapes in his new office then you can start pekualing him mnavotaka but to just jump in conclusion tht he's copy ya yaliyojilia or he's sijui a coward, that's not fair. Give him a little time, another chance kwa niaba ya...and see him make changes from within.

Peace.
 
Watu waoga na wanafiki ni wa kuogopa kuliko ukimwi. Janauri Makamba hafai kuingia kwenye matarajio ya watanzania. Ukishakuwa CCM ukawakuta wachawi nawe unakuwa mchawi. Dhambi ya viapo vyao itawatafuna hadi kaburini. CCM ni Chama Cha Ma-freemason. Ukiishakula kiapo huko huwezi kutoka, na ukitoka watakutafutia visa hadi kukuua.

Hapo hakuna mtu. Ni kama baba yake.
 
Back
Top Bottom