Anguko la January Makamba

Anguko la January Makamba

Huyu Dogo leng lake ni kuchukua nafasi ya Ngeleja ndiyo maana ana kaunafiki fulani kakuuma na kupuliza, Nilishangaa sana alipokuwa haja sign kwa Zito maana ni upuuzi wa hali ya Juu kwa M/kiti wa Kamati yeyot ambaye haku sign.. Huyu hana tofauti na Cheyo wa Udp
 
JM alikuwa mshauri wa Rais, na huenda akapewa Uwaziri, hawezi kunyea KAMBI, ni msaliti mnafiki na mzandiki mkubwa
 
Januari hajawahi kuwa kichwa hata siku moja. Sijapata kumuweka katika kundi la vijana wenye vision, ambao wanaweza kuipeleka nchi hii hatua kadhaa mbele kimaendeleo. Huyu si ndio alikuwa mwandishi wa hutoba za JK zisizokuwa na kichwa wala miguu zilizokosa mashiko? JK alifanya jambo la maana kumnyima uwaziri na kuzima ndoto za baba yake ambaye alijiapiza kwamba mwanae lazima aunase uwaziri.
 
like a father like a son mnafiki tu kama babaake hana lolote mshamba tu anatudanganya kama watoto na hatudanganyiki
 
Hivi nyie mlikuwa hamjui kuwa huyu kijana alikuwa huenda AKITAFUTA UMAARUFU AU kwa haraka haraka naweza kusema, inawezekana alikuwa na nia nzuri ispokuwa aAMEFUNGWA DOMO na baba yake! maana huenda ana maovu baba yake ameyafanya mzee akaona amnyamazishe mtoto wake na hivo kujipatia umaarufu,

Ila hata mie nimedharau na hoja yake ya kuuliza muongozo wa bunge juu ya uwasilishwaji wa kumg'oa waziri mkuu NI KUJIPENDEKEZA KWA JK ili amuone mwema ! shame on him !
 
January Makamba hakuna kitu pale uzuri ni kwamba unapokuwa mnafiki Mungu anakuumbua. Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutupa upande wa January Makamba, vinginevyo alishataka kutupoteza wengi kwenda upande wake
 
kama ulitegemea chochote toka kwa january makamba, then jitazame tena. hamna kitu pale. just like father like son, unless unambie ulishuhudia a lot toka kwa baba'ke
 
i got my own five stars world class young leaders: Filikunjombe, Nyerere Vicent, Mnyika and Bashe. Kabwe and makamba are just the underdogs to these men.
 
Lazima January Makamba aelewe kwamba kunapokuwa na tatizo, mtu akipendekeza suluhisho, usipokubaliana nalo unakuwa na wajibu wa kuliboresha suluhisho lililopendekezwa au kutoa suluhisho jingine lililo bora zaidi. La sivyo kaa kimya.
 
Nilicho gundua kuhusu January ni kwamba si jasiri. hayupo tayari kwenda kinyume na chama pale hilo swala linapo kuwa si popular. He is not a leader but a follower. Anapima kwanza upepo ndiyo afanya maamuzi na hii style ina fanana sana na ya JK.
 
Huwezi kumlinganisha January na Zitto hata kidogo, mfano mdogo ni twitter. Wakati Zitto anakaribia followers 20,000 January hata 10,000 hajafika pamoja na kuwa na verified account.
 
Hivi watu wanafikiri MTOTO WA NYOKA anaweza kugeuka na kuwa KENGE????Never! Like son like Daddy. Sielewi kwanini watu wanafikiri Januari Makamba anaweza kuwa kiongozi bora? Pale hakna kitu waheshimiwa. Huyu ameibukia tu kwasababu ya kubebwa na babake Makamba-Katibu Mkuu wa zamani wa CCM Taifa. Huyu hawezi kuwa tofauti na babake hata siku moja. GENETIC CONSIDERATION lazima ichuke mkondo wake. Thus don't expect anything good from this hypocrite sambaa boy. Just ask yourself,IS JANAUARY MAKAMBA ONE OF THE 7 CCM MPs who signed in the list of NO CONFIDENCE AGAINST THE PRIME MINISTER???Surely he is not!!!
Therefore January Makamba is just as hypocrite as anybody in CCM! Hiyo ndiyo sifa kubwa ya wana-magamba.
 
kama walivyokwishachangia wengine, siko mbali nao sana. Huyu kijana mimi binfasi sikuwahi kumuweka kwenye list ya viongozi wazuri, nilikua namchukulia kama Nape tu. Kuna maeneo anafanya kazi vzr lakini huwezi kutegemea mtoto wa nyani awe kondoo, never on earth...
 
"Do you wanna be a well fed Slave .... or a Hungry Free man" Dube (r.i.p) aliimba. January wanna be a "Well fed Slave". Anyway, sasa anafunikwa na Filikunjombe mwana wa Ludewa.
 
January kwangu mimi navyojua hatabalika, yeye ni sawa na "BABA ZAO" wa kuonja mboga jikoni na kusubiri kusifu akawa mezani ameshaonja
 
makamba ameangukia wapi? Hakuwahi kuwa juu, ni mchumia tumbo kama babake.
 
Back
Top Bottom