Anguko la January Makamba

Anguko la January Makamba

Mwenzenu hana hata muda nanyi, ndiyo kwanza anasema wabongo wanachonga sana bila kujua wanaloongea, na wao viongozi wenye kujua hawaongei kuwajuza wabongo katika style ya "aliyelala usimuamshe..."

The nerve...

ahamie nchi ambazo hawachongi nahis kongo na burundi
 
kumbe tangia awali hamkumjua, yeye nia yake sio mageuzi yeye ni Uwaziri wa nishati tu, naye ale bia alewe madaraka kama BBYAKE
 
Ukiachilia mbali the fact that January has never been on top (mpaka tumpe ujiko wa kusema sasa anaanguka) ni kwamba January anatumikia chama (kilichomfikisha hapo alipo) wakati Zitto anawatumikia wananchi ili aione Tanzania aitamaniyo.

Halima Mdee hakukosea kabisa kumuita January mnafiki.... hii ni kutokana na uwezo wake kuwa mdogo lakini mara zote amekuwa akijitahidi kujiweka juu juu kutokana na kuaminishwa na wapambe wake kwamba yeye ana uwezo mkubwa.
 
Ndo utamu wa upinzani. Kupingana bila kupigana. January yuko sahihi na bado ni mpiganaji wa kizazi hiki. Let us not demonize him too much. Kuna wakati tulim-demonize sana Zitto ghafla tunamwona ni nyota. Tukubali sote ni binadamu na wakati mwingine hatuko consistent. Nadhani tukio la Dodoma haliamui hatima ya January kihivyo wana JF wengi mnavyoliweka. Too much obsession benumbs objectivity on how we look at things. The worst time to make worst judgement is when you are emotional. Most of us are charged with the account of what happened in DDM and we think the only rational way for any MP was to sign the petition for a motion to unseat the PM. In this charged environment no anyone of us would have thought of another option. Makamba seems to have an option but based on what I have said above the timing to suggest that option may not be right.

So January, Zitto, Filiku(something), Esther, Mnyika and the likes are the youth icons Tanzania should be proud to have produced in this generation. I would encourage them to have non-partisan informal meetings to share their genuine convictions and especially on what they want to do for this country. Being on different political camps does not render them impossible to meet, argue, agree and agree to disagree. This country will not be built by dogmatic thinking. We will only move forward if we nurture constructive conflicts. Tanzania needs some sort of conflict to progress (sina maana ya bloodshed). We will not develop if when we woke in the morning without differing ideas/options to resolve our problems. The differing ideas have to compete and the best is adopted from individual level to institutional level. You won't have the best idea if you do not have the worst. You won't choose if there are no choices, and to choose you have to go through the conflict process. What survives thereafter is the best and strongest option.

So again wanaJF let us nurture the conflict spirit be it at home, work places and especially in politics. If we avoid conflicts we are in a way avoiding development. We need constant agitations, we need to be challenged and this should be a new culture. Whoever comes to power if she/he doesn't deliver the seat he/she seats on will be hot and eventually she/he will be ejected.

 
kwenye future leaders wa nchi hii sijawahi kumfikiria huyu mlamba miguu
 
Mimi pia sijawahi kumwona January kama kiongozi. Yeye ni matokeo ya mfumo kufalmeisha taifa letu. Yeye ni William, Nape na wengine kama wao, ni sawa na wananchi wenye njaa, wanaoishi katika ardhi isiyo na rutuba lakini wanasita kuhama kwa sababu tu - kuna makaburi ya baba na babu zao. Kibaya zaidi, hawana hata mbinu ya kuweka mbolea eneo hilo ili liweze kuboreka na kuzaa matunda zaidi. January kama ana usongo aje hapa atueleze ana mbadala gani wa kuinua utendaji serikalini zaidi ya kukosa imani na kiranja wao bungeni (Pinda), na ikibidi kukosa imani na Kiranja wao mkuu serikalini (JK).
 
This generation needs people who are capable of living words which they are articulating in public ujue recently watanzania na wanasiasa wengi wanitumia siasa ya those days,those days ilikua if you are capable of winning public mind even ahat bila kutekeleza usemacho things were fine but these days watu wamefunguka,january ana uwezo but he is working in a polluted systerm And so he is pollted too,me honestly i love the guy plus nape na surel am telling you my colleages that siku wakitoka mule ndani you will see how fantastic are those two guys
 
Watu waoga na wanafiki ni wa kuogopa kuliko ukimwi. Janauri Makamba hafai kuingia kwenye matarajio ya watanzania. Ukishakuwa CCM ukawakuta wachawi nawe unakuwa mchawi. Dhambi ya viapo vyao itawatafuna hadi kaburini. CCM ni Chama Cha Ma-freemason. Ukiishakula kiapo huko huwezi kutoka, na ukitoka watakutafutia visa hadi kukuua.
 
Yani january anaonekana tu kwa sura ni mlafi wa madaraka...alaf anajifanya anajua kila kitu. Toka alivomtwanga swali yule mama wa nccr mageuzi eti why unaenda kukaa bungeni(east africa)..ovyo sana january akili ka za dingi yake...*****.. Anaboa sana huyu chaliii
 
Inatosha tu kusema vijana wanafiki km huyu hawatakiwi. Tangu lini mtoto wa nyoka akawa mbuzi?
 
Yaani mtu akipishana na wewe kwenye mawazo tu, unafuta mema yake yoooooote. DU
Siasa za tanganyika kiboko
 
Sijawahi kumwani January, nimekuwa nikipata shida juu ushirika wa January na Zitto, kwani kama Nuru na Giza hivikai pamoja!
 
Mfumo uliyomwingiza bungeni ndio mbaya,hakupigia kura,hivyo hakutumwa bungeni na wananchi,hana wa kuwatetea,wala wa kuwakilisha mawazo yao,yupo kwa masilahi yake.
 
Sijawahi kamwe kuwaza kuwa January Makamba, mtoto wa Gamba Gumu anaweza kutetea maslahi ya wanyonge. Alipelekwa Ikulu kwa uswahiba wa Katibu wa Chama na Mwenyekiti na baba yake kamuachia kijiti Bumbuli, nukta. Hana lolote huyu, ni ubishoo tu hata speech za mkuu ni sub-standard tu. Karatasi nyeupe haiwezi kuwa na contents!!
 
'Mtoto wa fisi ni fisi tu' Makamba ni mnafiki mkubwa' mtu anayeongea kitu anachoshindwa kukisimamia tumweleweje? **Bumbuli** hawana mbunge hapo. Pole zao.
 
Ndugu zangu wa Vuga,Soni,Bumbuli,Mgwashi,na Mahezangulu,mbunge wetu hataki wafujaji wawajibike aibu hii ni yetu,tumekuwa na tatizo la kujipendekeza kwa wageni huu ni mwanzo tu!!!!!
 
Huyu mwezi wa kwanza namfananisha na Le Mutuz big show @ dodoma city then dsm city
 
Back
Top Bottom