Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.
Demokrasia na Maendeleo.
Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.
Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.
Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.
Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.
Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.
Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.
Watu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.
Aisee SSM kila mkilala ni chadema tu!! Haki ya nani kweli inawapa tabu na post zenyewe hazina kichwa wala mguu ni kigugumizi tu!! Sasa ona wanavyokuchambua hapa!! Waite wenzio waje wakusaidie kama yule wakili wenu katika rufaa ya Mnyika alisema naomba niende kuomba wakili mwingine wa kusaidia maana hii ngumu!! Chezea vichwa vya CDM weye!! Spike Lee!! umejionea mwenyewe.
Ajenge hoja hata penye kinyes?sio kila anayeumwa lazma achomwe sindano wengine hupatiwa vidonge.jenga hoja ........................ acha blah blah............
Umeshonyesha utabiri wako vizuri na unalozungumzia ni jambo ambalo linaweza kutokea kama vile vile ambavyo jambo hilo linavyoweza kutokea kwa CCM.Watu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.
Demokrasia na Maendeleo.
Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.
Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.
Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.
Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.
Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.
Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.
......
Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.....
UKiangalia tarehe uliyojiunga humu yaonyesha ni mmoja ya wale mliotumwa na wassira na mwigulu baada ya kikao chenu ....uwa napata tabu sana kukutana na watu wanaofikiria kwa kutumia tumbooWatu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.
Mbona watu wazito kuelewa Kama Zito!huyo Zito hatofukuzwa na mtu atajifukuza mwenyewe na shibuda wake muda wao ukifika wataondoka Mbona maandishi yapo ukutani,akili zakupambambanua ham nazo.........
Nakupongeza kwa pointi zako murua. Mchango wangu kwenye mada yako ni huu:
Huo ugonjwa wa kukosa uvumilivu kwenye chama upo kwenye kila chama cha siasa hapa Tanzania, sio Chadema tu. Steven Wassira alikuwa CCM, alipoona maslahi yake yanalegalega akahamia NCCR, then Chadema, halafu akarudi CCM ambako naona maslahi yake yanaenda vizuri. Jiulize, jina la Tyson alilopewa Wassira lilitokana na nini? Labda nikukumbushe historia ya watu wa namna hiyo, ambao walihamahama vyama kutafuta maslahi manono, pale ambapo hawakuridhika na vyama walivyopo!
- Danhi Makanga>>CCM>>UDP>>CCM
- Daniel Nsanzugwanko>>CCM>>Chadema>>CCM
- Sambwee Shitambala>>CCM>>Chadema>>CCM
- Richard Hizza (Tambwe)>>CUF>>CCM
- Augustine Mrema>>CCM>>NCCR>>TLP
- Thomas Ngawaiya>>CCM>>TLP>>CCM
- Thomas Nyimbo>>CCM>>Chadema>>CCM
- Njelu Kasaka (G 55)>>CCM>>CUF>>CCM
- John Guninita>>CCM>>Upinzani (sina uhakika kama alienda NCCR/Chadema)>>CCM
- John Magale Shibuda>>CCM>Chadema>>???
Wengi wa waliorudi CCM wamepewa ukuu wa wilaya, ukuu wa mikoa na wengne kama akina Shitambala wameshinda viti vya NEC. Ni mkakati wa Yusufu Makamba wa muda mrefu sana. Lengo la kuwapa vyeo hawa akina 'hamahama' ni kuua upinzani ili ibakie CCM pekee. Ni sana na kukausha bwawa ili ukamate samaki, badala ya kuwavua kwa chambo na nyavu ama ndoano!
Orodha ya wasaka tonge ni ndefu sana. Kimsingi wanasiasa wa Tanzania wanasaka maslahi yao kwanza, maslahi ya waliowachagua yanakuja baadaye sana. Hi ipo kila chama. Hata leo, usione Nape na Nchemba wanapiga kelele majukwaani, CCM ikiwakera kidogo utashangaa wanaingia kwenye operesheni PEREGE/KAMBALE n.k.
Nawasilisha