CCm jibuni hoja tata kwa wananchi kama vile kutekwa na kuteswa kwa dr ulimboka, kuuawa kwa mwangosi, change ya rada, fedha za epa, kashfa za richmond, kagoda, meremeta, fedha zilizofichwa nje kifisadi, shehena ya nyara ilisafirishwa kwa meli ya Kinana, twiga wetu aliyesafirishwa na dege la jeshi la falme za kiarabu bila kung'amuliwa na rada ya chenge, uchangishaji wa fedha kuwezesha wabunge kupitisha bajeti, kufungia gazeti la mwanahalisi wakati redio fulani zikihubiri usiku na mchana chuki za kidini, kupunguza viwango vya ufaulu kwa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza, wanafunzi kufaulu kwenda sekondari ilihali hawajui kusoma na kuandika, kunyanyasa walimu kwa kutumia mahakama, kunyanyasa vyama vya upinzani kwa kutumia polisi, kusaini mikataba feki inayobadili majina km vl richmond, dowans nk, mauaji ya albino, malipo ya wastaafu EAC, bodi ya mikopo, uharibifu wa mazingira utokanao na uwekezaji mf. North Mara, uuaji wa raia unaofanywa na jeshi la polisi, tume ya uchaguzi isiyo huru, viongozi na watoto wa viongozi wa serikali kujilimbikizia mali, ajira za kiukoo na kujuana katika taasisi nyeti za serikali, RuSHWA KweNyE ChAgUzI Za CcM Hadi boss wao anatamka hadharani, na baya zaidi kilo ya unga, mchele, maharage, nk zinapanda kwa kupaa na kwa wasira, nape, na mwigulu tatizo ni chadema. CCM, msizoee usanii maana kuna siku mtashangaa! Nchi hii tunaishi binadamu wenye akili pengine zaidi yenu. Acheni kutuona hatunazo!