Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

DK.Slaa huyu ndiye tumaini la Chadema. Pamoja na kwamba wanajua hataweza kukanyaga Ikulu kwa sababu Watanzania hawajawa wajinga kiasi hicho. Lakini wanajua wakimtumia vizuri Dk.Slaa ni mtaji wa kuongeza ruzuku, fursa kuu ya kiuchumi ambayo ndiyo lengo kuu la Chadema

Narrow mind. Mawazo kama haya ndiyo yatazidi kutufukia watanzania kwenye lindi la umaskini. Wewe unafaidika vizuri Lumumba, ila watu milioni 44 wanaathirika na kazi zenu za kutetea ubadhilifu na uzandiki.
 
Mhh nchi hii ina kazi kubwa bado kama mpaka leo kwenye ulimwengu w digital bado kuna watu wa disign hii kweli nchi inahitaji maombi na si elimu ya kawaida, haitatukomboa, tena utashangazwa ukiambiwa aliyeandika hivi ni kiongozi wa ngazi fulani kwenye chama tawala!!!!!!!!!!!!!!!!!!@@@@@@@@@@@ ----"""""""
 
yaan chadema mnamshabikia slaa ambaye naye pia alikuwa ccm mpaka alipotoswa kugombea ubunge kupitia ccm jimbo la karatu! Eti leo huyu ni mtu wa maana sana; kiukweli hana tofauti na shibuda na mpendazoe! Jembe la chadema ni zitto ambaye hapewi nafasi ya kuongoza chama kwa kuwa hatoki kilimanjaro au arusha!

Unamtetea mamluki wako Zitto!! Masalia wake na MP7 na CHAUMA wanaishia naye ataishia technically 2015!! Msaliti hawezi kuiongoza nchi ya wapenda maendeleo labda kule kwenu kwa wala rushwa na mafisadi. Endeleeni kumlea mwambie aunde tena chama kingine na masalia namba two!!
 
mzinga huu ndio ukweli wenyewe ngoja uone!zzk anajua ana kundi kubwa la watu ndani ya cdm

Wanachadema ndiyo sisi tena maguru na hana lolote ndani ya CDM ZITTO wako. Mchukueni mkitaka na chama kipo imara!! Mbona siku nyingi tunajua anatumika?? Tunamwangalia kwa jicho la nne!!! Na kwa sasa hana lolote, tumefunga milango!! Endeleeni kupayuka tu.
 
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.

Ma ccm yanatapatapa....kwasiku mtafungua thread 100 za kuishambulia CDM lakini haitasaidia kitu kwani mipango yenu
imefeli mchana kweupeee.
 
Maskini CCM, kila kukicha kama Fisi kusubiri mkono uanguke, leo unakuja na hoja ya milioni za CDM, wakati unajua kuwa ccm mnapokea zaidi ya bilioni moja na nusu tuambie kama zimeendeleza mwanachama gani? majengo yote mnayotumia ni yale yaliyokuwa ya serikali. Sio mbaya najua mna hasira kina Shonza wamekula hela zenu na hamjafanikiwa!!!
 
Mhh nchi hii ina kazi kubwa bado kama mpaka leo kwenye ulimwengu w digital bado kuna watu wa disign hii kweli nchi inahitaji maombi na si elimu ya kawaida, haitatukomboa, tena utashangazwa ukiambiwa aliyeandika hivi ni kiongozi wa ngazi fulani kwenye chama tawala!!!!!!!!!!!!!!!!!!@@@@@@@@@@@ ----"""""""

Mkuu Wembe Wenge, si unajua tena kina Nkulu wako wengi!! Eti sifa yao kuchaguliwa wajumbe wale kumi ni pamoja na upayukaji!!! Haha ha sura mbaya lao zee la kusinzia bungeni aliongoza KURA!!! Ha ha ha!!! Mwizi wa Nyara za serikali ni mtendaji!! Hebu wasitake washambuliwe kama karanga hapa maana wao ndiyo wataanguka toka juu kwenda chini!!! Sijawahi ona anayeanguka toka chini kwenda juu, ni Yesu mwenyewe alishinda Newton Laws of Motion!!!
 
Watu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.
Nisalimie Chama wa Gongo la mboto.
 
The spirit of ccmism must die to give room for patriotism. ccm has nothing to tell tanzanians apart from attacking chadema and Dr Slaa. Why dont they dare tell Tanzanians the way they are swindling our natural resources by using the blood dripping hands of corrupt police? WHY? Why dont they dare tell us how the EPA, Richmond, Kagoda, Meremeta, transported alive giraffe,and elephant tusks scandles happened and how they are dealing with the swindlers? Let Tanzanians wake up like the Kenyans, Zambians and the like and shout together no more SISIEMUISM to this generation. True chadema supporters should always be proud of any decision given by our leaders provided is gounded on BEYOND REASONABLE DOUBTS. THOSE WHO ARE WAITING FOR CHADEMA TO COLLAPSE ARE LIKE ONE WAITING FOR THE DOOMS DAY NEXT WEEK AND MUST BE ASHAMED OF THEIR DEADLY BRAIN!
 
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.

Mods naomba tufungue jukwaa la elimu ya matumizi ya serikali kwa kazi za maendeleo!!! Wewe Spike Lee unajua kuwa hela zote za maendeleo zinatokana na bajeti ya serikali ambayo ni mapato ya ndani na ile ya kupeleka ombaomba bakuli nje kama mnavyofanya? Na kati ya hizo kuna Recurrent and Development Expenditures!!! Si unakumbuka Development Exp kwa bajeti iliyopita kama nitakumbuka vizuri ilikuwa ni kati ya 17-30% ya bajeti nzima na Recurrent 83-70%? Kama mnapenda maendeleo nyie mnaotekeleza Ilani ya Chama Chenu na Mkakati wa Maendeleao wa Taifa mbona mna bajeti kiduchu katika maendeleo hadi namkumbuka ilibishaniwa na wabunge!! Hela ya chama kingine chochote ya Ruzuku si kwa maendeleo ya Taifa kwa ujumla wake!! Hebu nikuulize zile hela za Maendeleo ya Majimbo kupitia wabunge wenu wa SSM mnazitumiaje? Hebu japo tuanzie kwa micro level kama hiyo!!! Hakuna lolote, umeleta post ili tuchambue udhadifu wenu, tutawavu nguo hadharani msipoangalia!! Watanzania wa leo si wale wa jana!!! Mnajidanganya!!
 
Wahujumu chama wanakuwa sababu ya anguko la chama au wafukuza wahujumu ndo wanaosababisha anguko. huku CDM tunajua kuwavua maganda kwelikweli. Rejea: Mungu anatoa na CCM wanatwaa!!!
 
Chadema iliwafanya Watanzania wenzetu kadhaa wamepoteza maisha yao katika mikoa ya Singida, Morogoro, Mwanza, na Iringa, lakini bahati nzuri Rais Kikwete, analinda amani.
Wahindi wanamsemowao unaosema...Boo dinda akili poteya
 
Chadema iliwafanya Watanzania wenzetu kadhaa wamepoteza maisha yao katika mikoa ya Singida, Morogoro, Mwanza, na Iringa, lakini bahati nzuri Rais Kikwete, analinda amani.

Pole hulijui unalo liandika
 
Aisee SSM kila mkilala ni chadema tu!! Haki ya nani kweli inawapa tabu na post zenyewe hazina kichwa wala mguu ni kigugumizi tu!! Sasa ona wanavyokuchambua hapa!! Waite wenzio waje wakusaidie kama yule wakili wenu katika rufaa ya Mnyika alisema naomba niende kuomba wakili mwingine wa kusaidia maana hii ngumu!! Chezea vichwa vya CDM weye!! Spike Lee!! umejionea mwenyewe.
 
Hawa waganga wenu sometime muwe mnawadai pesa zenu kwa kuwatapeli.CDM iko imara shost
 
...proposal ya pilau Monduli
....

......wakati wengine... wapambana ili mtoto wako apate hata mlo moja kwa siku wewe unapigania tumbo lako...... ukale tena pilau ya sikumoja.......
 
chadema itakufa siku wakimfukuza Zitto! heche amejaribu kwa juliana ngoja tuone kama yupo mwenye uwezzo wa kumfukuza ZZK
Mbona watu wazito kuelewa Kama Zito!huyo Zito hatofukuzwa na mtu atajifukuza mwenyewe na shibuda wake muda wao ukifika wataondoka Mbona maandishi yapo ukutani,akili zakupambambanua ham nazo.........
 
Chadema iliwafanya Watanzania wenzetu kadhaa wamepoteza maisha yao katika mikoa ya Singida, Morogoro, Mwanza, na Iringa, lakini bahati nzuri Rais Kikwete, analinda amani.
Sikujua kumbe polisi wanaoua raia wote ni Chadema ?
 
Back
Top Bottom