Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

Watu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.

ukipewa chochote kutoka kwa mafisadi wewe pokea tu.andika mistari 2 kama hii siku ziende ule,watoto waende shule n.k.CHADEMA ITAKUFA OMBA KALAMU ILI UONGEZE MAANDISHI.NDOTO NYINGINE BWANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????
 
chadema itakufa siku wakimfukuza Zitto! heche amejaribu kwa juliana ngoja tuone kama yupo mwenye uwezzo wa kumfukuza ZZK

Na hilo ndio lengo la slaa.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Acha longo longo, we sema umepewa sh'ngapi uropoke bila mpango. Toa hoja, si porojo. Waliokupa pesa zao IMEKULA KWAO! Ustake nkutukane bureeee.....WAHEDI kabisa wewe!
 
Hahahaaaa!itaanguka kutoka kinondoni na kuangukia Magogoni.Ni rahisi kabisa wapinzani wetu ndo kama wewe na Nchemba very blunt!
 
Hivyo ndivyo unavyowaza ukadhani ni kwa akili zako, akili zako haziwezi kuwaza hivyo bali ni akili za wale wenye uchu wa kuendelea kuwanyonya watanzania na kuwahadaa kuwa ninyi mnadumisha amani kumbe mmekwishanunuliwa. Kwa taarifa yako watanzania wote wanaelewa fika kuwa uongozi wa nchi yetu mliupeleka sokoni kwa mkataba wa kuiba raslimali zetu na kamwe haitotokea labda muweke mkataba wa kuzitoa roho zetu. Wewe kwa akili yako unaona ustawi gani kama siyo wizi na ufisadi uliokithiri kila kona ya nchi hii mpk kuna wakati mlifikia kusema tattizo si rushwa bali tatizo ni kuzidiana, hiyo kauli inaielewa maana yake?
Watu wenye akili zetu tunapoandika kuwaasa Watanzania wenzetu wajiepushe na chama hicho, tukiwasihi watuamini kwamba hicho kinachoitwa Demokrasia na Maendeleo ndani ya hicho chama ni ghilba na hadaa tu inayolenga kuwanufahisha baadhi ya waliomo, wanakuwa na moyo migumu kama kina Tomaso wa enzi za Yesu.
 
Acha kutumika,umasikini unakufanya uwe na mawazo machafu
 
Hahaaa... Eti na wewe umewazaaaaa, hadi ukaona ubofye kitufe cha "Post new topic"!!!

Uuuwi nimecheka hadi baasi,kwani we umesahau watu waliokunywa maji ya bendera ya kijani wanawazaga kwa kutumia nini?
 
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.

lol

ndio mara yangu ya kwanza kusikia demokrasia na maendeleo bila uwajibikaji.
mkuu, CHADEMA isipoanguka utajisikia vibaya sana wewe...!
 
Wafuasi wa Chadema naona wanatokwa na mapovu badala kujenga hoja za msingi.
 
lol

ndio mara yangu ya kwanza kusikia demokrasia na maendeleo bila uwajibikaji.
mkuu, CHADEMA isipoanguka utajisikia vibaya sana wewe...!

Kiongozi anguko la Chadema mbona lipo wazi ni swala la muda tu tarudi tena ukumbini kuthibitisha haya maneno yangu.
 
Kwani ruzuku ya ccm inawaendelezaje wanachama wake? Kama sio kuwahonga wananchi kwa kuwapa wali,kofia na tshirt? Mi naona anguko litatokea kwa magamba.
 
DK.Slaa huyu ndiye tumaini la Chadema. Pamoja na kwamba wanajua hataweza kukanyaga Ikulu kwa sababu Watanzania hawajawa wajinga kiasi hicho. Lakini wanajua wakimtumia vizuri Dk.Slaa ni mtaji wa kuongeza ruzuku, fursa kuu ya kiuchumi ambayo ndiyo lengo kuu la Chadema

Kama Dr Slaa anaweza kutumika kama mtaji wa kuongeza ruzuku, sidhani kama hawezi kuingia ikulu.
 
Jiangalie ulivyo muongo kwa hiyo na CCM itakufa kwa kuwepo Wasira kutoka NCCR, Kaburu kutoka Chadema na Tambwe kutoka CUF.
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.
 
Wana JF.
Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema). Kimejipa jina hilo maudhui makuu katika jina hilo, ni mawili tu.

Demokrasia na Maendeleo.

Demokrasia kwa maana ya fursa kwa mwanachama na kiongozi wake asiyeweza kuipata katika chama kingine chochote kile nchini, fursa ya kushiriki katika maamuzi muhimu ya chama.

Maendeleo kwa kila Mtanzania, yanayotokana na mgawanyika sawa wa rasilimali za taifa hili.

Leo chama hicho kinapata mamilioni kwa ajili ya maendeleo ya chama kupitia ruzuku ya Serikali, lakini mamilioni yote hayo hatuoni yanavyoendeleza wanachama wake, achilia mbali chama chenyewe hicho.

Unapoandika allegations kama hizi uwe na facts. CCM ndio wanaopata mabilioni. Wao ndio wameshika dola, wanamamlaka na fedha yote inayotokana na mapato yote ya serikali. Je kwa ile ya ruzuku wanachama wake wanaendelezwaje? na ile ya serikali yake watanzania tunaendelezwaje? Au dio fasheni siku kukisema chadema tu hata kwa maelezo yasiyo na mashiko?

Watanzania wapenda amani wameishakuwa makini na Chadema kwamba chama hicho ni hatari kwa ustawi wa jamii.

Chama hatari kwa ustawi wa jamii hakistahili kuwepo kwa mujibu wa sheria. Sasa kama hayo ni kweli kwanini kipo au kwa nini msipeleke ushahidi huo kwa msajili ambaye pia ni wenu ili kifutwe? Tunajua zimaefanyika mbinu ya kutumia Polisi (JK alithibitisha hili kwa kusema CCM waache kutegemea Polisi). Goal ilikuwa hilo la mwisho wa siku ionekane CDM ni chama cha vurugu kichukiwe na watu na porobably ziwe ndizo grounds za kukifuta. Kule Mafinga anayeonekana anaua ni Polisi halafu mijitu kama wewe bila aibu mnajitahidi kuwaaminisha watanzania kuwa walioua ni Chadema. Inamaana hata wananchi walioshuhudia mnafikiri wajinga kiasi hicho?

Viongozi wanaounda Baraza Kuu na Kamati Kuu, ni wale waliokosa uvumilivu ndani ya vyama vya siasa walivyokuwamo mwanzo, wengi wao wakiwa wametokea CCM baada ya matamanio yao ya kupata madaraka waliyoyataka kukosekana huko, akiwamo DK. Slaa mwenyewe.

Unaonekana wewe ama unakariri, unaropoka bila kufikiri au unatake for granted kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri na hawana kumbukumbu ya historia ya nchi yetu kama wewe. Labda nianze kwa kukuvua nguo kwa historia ya mfumo wa vyama vingi awamu ya pili (1992). Kabla ya 1992 Tanzania kulikuwa na Chama kumoja tu. hivyo ni ilikuwa ni lazima mtu awe mwana-CCM. Wanafunzi wa vyuo hawakupata admission au wamalizapo hawakupata ajira unless awe ni mwanachama wa CCM kwa kuthibitisha kuwa ana kadi. Sasa wakati vyama vingi vinaanza wewe akili yako inakutuma kuwa vyama vya upinzani vingetoa wapi wanachama kama si kutokana na pupolation ya watu hao hao? Au ulitaka watoke kenya au Uganda ili CCM wa-retain wanachama wao. Halafu ndugu yangu, hivi unajua hata maana ya Demokrasia? Ulitaka wale waliojiunga CCM huko zamani iwe ni marufuku kutoka either kwa kuacha kuwa mwanachama au kujiunga na vyama vingine? CCM mnaweweseka kwa sababu mshazoea na mna hang-over za kupora haki za watu kwa mgongo wa chama kushika hatamu, zidumu fikra za....... nk.

Ni wazi siku si nyingi anguko la Chadema tutaliona miongoni mwa hao watapatikana kina Yuda Iskarioti waliokata tamaa, na hilo ndiyo litakuwa anguko la Chadema.

Endelea kuota anguko hilo ila deep down unajua anguko linakunyemelea chama gani...
 
Back
Top Bottom