Anguko la CHADEMA lipo njiani


ukipewa chochote kutoka kwa mafisadi wewe pokea tu.andika mistari 2 kama hii siku ziende ule,watoto waende shule n.k.CHADEMA ITAKUFA OMBA KALAMU ILI UONGEZE MAANDISHI.NDOTO NYINGINE BWANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????
 
chadema itakufa siku wakimfukuza Zitto! heche amejaribu kwa juliana ngoja tuone kama yupo mwenye uwezzo wa kumfukuza ZZK

Na hilo ndio lengo la slaa.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Acha longo longo, we sema umepewa sh'ngapi uropoke bila mpango. Toa hoja, si porojo. Waliokupa pesa zao IMEKULA KWAO! Ustake nkutukane bureeee.....WAHEDI kabisa wewe!
 
Hahahaaaa!itaanguka kutoka kinondoni na kuangukia Magogoni.Ni rahisi kabisa wapinzani wetu ndo kama wewe na Nchemba very blunt!
 
Hivyo ndivyo unavyowaza ukadhani ni kwa akili zako, akili zako haziwezi kuwaza hivyo bali ni akili za wale wenye uchu wa kuendelea kuwanyonya watanzania na kuwahadaa kuwa ninyi mnadumisha amani kumbe mmekwishanunuliwa. Kwa taarifa yako watanzania wote wanaelewa fika kuwa uongozi wa nchi yetu mliupeleka sokoni kwa mkataba wa kuiba raslimali zetu na kamwe haitotokea labda muweke mkataba wa kuzitoa roho zetu. Wewe kwa akili yako unaona ustawi gani kama siyo wizi na ufisadi uliokithiri kila kona ya nchi hii mpk kuna wakati mlifikia kusema tattizo si rushwa bali tatizo ni kuzidiana, hiyo kauli inaielewa maana yake?
 
Acha kutumika,umasikini unakufanya uwe na mawazo machafu
 
Hahaaa... Eti na wewe umewazaaaaa, hadi ukaona ubofye kitufe cha "Post new topic"!!!

Uuuwi nimecheka hadi baasi,kwani we umesahau watu waliokunywa maji ya bendera ya kijani wanawazaga kwa kutumia nini?
 

lol

ndio mara yangu ya kwanza kusikia demokrasia na maendeleo bila uwajibikaji.
mkuu, CHADEMA isipoanguka utajisikia vibaya sana wewe...!
 
Wafuasi wa Chadema naona wanatokwa na mapovu badala kujenga hoja za msingi.
 
lol

ndio mara yangu ya kwanza kusikia demokrasia na maendeleo bila uwajibikaji.
mkuu, CHADEMA isipoanguka utajisikia vibaya sana wewe...!

Kiongozi anguko la Chadema mbona lipo wazi ni swala la muda tu tarudi tena ukumbini kuthibitisha haya maneno yangu.
 
Kwani ruzuku ya ccm inawaendelezaje wanachama wake? Kama sio kuwahonga wananchi kwa kuwapa wali,kofia na tshirt? Mi naona anguko litatokea kwa magamba.
 

Kama Dr Slaa anaweza kutumika kama mtaji wa kuongeza ruzuku, sidhani kama hawezi kuingia ikulu.
 
Jiangalie ulivyo muongo kwa hiyo na CCM itakufa kwa kuwepo Wasira kutoka NCCR, Kaburu kutoka Chadema na Tambwe kutoka CUF.
 
Magamba yako kazini kutapatapa kukwepa kufa maji.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…