Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,143
- 2,547
Utajua waso na hoja.je na tundulisu,slaa,mnyika,patroba,salum mwaalim,pf. safari nao hawa wachaga? Utumwa wa akili kazi!
Nyambafu, uandishi gani huu wa majina?
Utajua waso na hoja.je na tundulisu,slaa,mnyika,patroba,salum mwaalim,pf. safari nao hawa wachaga? Utumwa wa akili kazi!
Jipendekeze kwangu nikugegede.
Mleta mada hajielewi,hata wasira alisema mwisho wa CDM ilikuwa 2014 kumbe walikuwa wamempandikiza Zito na wenzake wakiue chama.CDM haitakufa kirahisi na kama ikifa fikra na mawazo vitabaki kwa watanzania na itakuwa tabu zaidi utaona mwenyewe.Hata watoto wako unawadhulumu maisha yao kwa kuleta uzi kama huu hapa.Tunashukuru tumepandikiza kitu kwa taifa,moto hautazima kamwe.
Hao wanatumika kama dodoki, muda wao ukiisha yaani wachaga wakishika dola angalia mazengwe watakayotengenezewa, la Zitto ni dogo, just wait. Kama Nyerere alivyowatumia waislam kupata uhuru na baadae akawatosa, the same applies !
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
Ubatili mtupu, sema ungependa iwe hivyo. Huna hata sababu za kutushawishiMuda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
hujielewi unafata mkumbo kama samaki. achana nao hao wachaga wanakupoteza wakati, slaa mwenye ni mzizi msaliti alilisaliti kanasa katoloki kwa uzizi wake wakumfukuza upadre, eti leo hii nilinataka kura za wanainchi. ha ha ha ha hakika slaa kuwa na raisi katika nchi hii ni sawa kusema sokwe ataitawala tanzania. shutuka wewe mtanzania, acha kuyumbishwa na warombo
Amini nakuambia nchi hii haitatokea rais kutoka chadema, atakayeitoa madarakani ccm.. ni zitto pekee.
teh teh, kama ccm inavyowatumia wanyonge wa nchi hii kujipatia kura ili kuendelea kuwafisadi.
acha ife, maana imetugeuza watanzania kama wajinga wote, nasema chadema kufa kufa kufa. wachaga wakapalilie migomba yao.
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
Hao uliowataja washawahi kuwa na nyasifa gani? ndani ya chama hicho cha kichaga.
ulitaka wanachama wote tuwe wenyeviti? mwaka huu tumewashikia chini hamfurukuti na ndio mwisho was chama chakavu cha mafisadi