Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

acha ife, maana imetugeuza watanzania kama wajinga wote, nasema chadema kufa kufa kufa. wachaga wakapalilie migomba yao.

Ni masikitiko kwa kauli hizi Kwani chama ni cha wote mbona mi mgogo na ni cdm? ???.
 
Ni masikitiko kwa kauli hizi Kwani chama ni cha wote mbona mi mgogo na ni cdm? ???.

hujielewi unafata mkumbo kama samaki. achana nao hao wachaga wanakupoteza wakati, slaa mwenye ni mzizi msaliti alilisaliti kanasa katoloki kwa uzizi wake wakumfukuza upadre, eti leo hii nilinataka kura za wanainchi. ha ha ha ha hakika slaa kuwa na raisi katika nchi hii ni sawa kusema sokwe ataitawala tanzania. shutuka wewe mtanzania, acha kuyumbishwa na warombo
 
Chama gani cha siasa wanaosaliti na kukiuka kanuni ni wa kabila nje ya wachaga Wakati kimejaa wachaga tu. Jiulize na chukua hatua sasa na kutoka familia ya Mushi, minja, lyimo, Urasa, Chuwa, Lema, mtei n.k.
 
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.

Alamsiki.

Ulitakiwa Pia Utuchambulie Ni Kivipi Na Siyo Tu Kuja Kienyeji Hivi. Ukianzisha Uzi Jaribu Kidogo Kuuchambua Ili Kuleta Mantiki Lakini Kwa Ujio Huu Hauko Mbali Sana Na Watu Waitwao Wambea Na Wakurupukaji.
 
Utaju waso na hoja.je na tundulisu,slaa,mnyika,patroba,salum mwaalim,pf safari nao hawa wachaga? Utumwa wa akili kazi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Utajua waso na hoja.je na tundulisu,slaa,mnyika,patroba,salum mwaalim,pf. safari nao hawa wachaga? Utumwa wa akili kazi!
 
....kweli chadema imewabana pichu mpaka hamlali, watanzania tumeikubali chadema na kura tutawapa, wawe wachaga au wakristo tunajua mija tu hawajashiriki kuunda meremeta, Richmond, epa na hakuna hata mmoja aliyepokea na kushiriki kwenye escrow. Ni mara mia wachaga waleta maendeleo kuliko majambazi tunayo yalea magogoni kwa kodi zetu na bado yanatupiga .....
 
Unaonekana hufanyi utafiti ili ujenge hoja.lkn tambua kila kitu kina chanzo.cdm ilinzia huko ukristo ulianzia ulaya.
 
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.

Alamsiki.
Siku hizi kila mtu anajiona mchambuzi wa mambo ya kisiasa. Hii ndio athari ya watanzania kubadilishwa uelekeo kila upepo fulani unapovuma. Si ajabu likitokea jambo jema kwa CHADEMA wiki mbili zijazo, mtu huyo huyo 'aliyetabiri' hiki anakuja kukikana!
 
Single ambayo Watanzania wameikataa miaka nenda miaka rudi inajaribu kuuzwa tena kuelekea October 2015 "Chadema chama cha Wachagga" si ajabu na single mbili zikaongezwa "Chadema chama cha Wakristo" na "Chadema chama cha kifamilia"

Hawa mainterahamwe hawana chochote cha kuonyesha walichokifanya katka miaka kumi iliyopita. Deni la Taifa limezidi kuongezeka toka trilioni 10 hadi kufikia trilioni 35, elimu imezidi kuanguka, huduma muhimu kama upatikanaji wa maji safi, umeme na matibabu bado ni shida kubwa sana, ajali za barabarani zinazidi kutumaliza Watanzania kila mwaka kwa idadi ya kutisha, ufisadi, wizi na rushwa vimezidi kushamiri sasa wameigeuza Ikulu kuwa danguro la mafisadi wanagawana mabilioni ya pesa ndani ya Ikulu bila hata woga. Wafadhili wamestukia wizi, rushwa na ufisadi vilivyokithiri ndani ya Serikali na kwa mara ya kwanza wamegoma kutoa msaada wao katika mwaka wa fedha 2014/2015. Mikataba ya rasilimali za Taifa haina maslahi yoyote kwa Tanzania na Watanzania na kwingine yameanza kubaki mashimo tu, wajanja wamechukua mali yote na kusepa.

Mainterehamwe kwa kuona hawana lolote walilolifanya sasa wameamua kuja na single zao ambazo zimekosa mvuto kwa miaka mingi sasa na hivyo kukosa wanunuzi.


Utaju waso na hoja.je na tundulisu,slaa,mnyika,patroba,salum mwaalim,pf safari nao hawa wachaga? Utumwa wa akili kazi!
 
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.

Alamsiki.
Hizo 'njozi' zilishaanza kuotwa na 'mabosi' wako akina Wassira, Nape na Nchemba, kuwa Chadema itakufa before 2015, lakini badala yake hiko chama ndiyo still gping strong.

Kinachotokea sasa ni vice versa, chama kongwe ndiyo lipo ICU.

Inasubiriwa tu kauli ya 'madaktari' waamue tu kuizimia mitambo ya 'oxygen' inayoisadia kupumua, ili tutangaze rasmi buriani Sisiem.

Hakuna kilichowahi kuwa na mwanzo hapa duniani, kilikosa kuwa na mwisho.

Hebu tujiulize, ipo wapi KANU ya Kenya?

Tujiulize pia ipo wapi UPC ya Uganda?

Tujiulize ipo wapi UNIP ya Zambia?

Tukiulize pia ipo wapi MCP ya.Malawi?

Jibu tunalolipata ni kuwa vyama vyote hivyo vilivyoleta Uhuru kwa nchi zinazotuzunguuka, wananchi wa nchi hizo,waliamua 'kuvinyonga' vyama vyao.

Sasa imebaki zamu ya Sisiem, wananchi wa ncji hii, tutaifanyia 'sherehe' kubwa ya kuiaga rasmi, ifikapo Oktoba ya mwaka huu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizo 'njozi' zilishaanza kuotwa na 'mabosi' wako akina Wassira, Nape na Nchemba, kuwa Chadema itakufa before 2015, lakini badala yake hiko chama ndiyo still gping strong.

Kinachotokea sasa ni vice versa, chama kongwe ndiyo lipo ICU.

Inasubiriwa tu kauli ya 'madaktari' waamue tu kuizimia mitambo ya 'oxygen' inayoisadia kupumua, ili tutangaze buriani Sisiem.

Hakuna kilichowahi kuwa na mwanzo hapa duniani, kilikosa kuwa na mwisho.

Hebu tujiulize, ipo wapi KANU ya Kenya?

Tujiulize pia ipo wapi UPC ya Uganda?

Tujiulize ipo wapi UNIP ya Zambia?

Tukiulize pia ipo wapi MCP ya.Malawi?

Mdau alikua na usingizi hivyo maelezo yake ni ya kukurupuka ndotoni, hainabudi kumswamehe.
 
Kwa taarifa yenu nyie misukule ya Lumumba CDM ni mpango wa mungu haitakufa mshindwe na mlegee endeleeni na mapambio yenu ya kinafiki yaliyopitwa na wakati CDM tunazidi kusonga mbele
 
Back
Top Bottom