Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

acha ife, maana imetugeuza watanzania kama wajinga wote, nasema chadema kufa kufa kufa. wachaga wakapalilie migomba yao.

hii chuki mliokuwa nayo dhid ya wachaga sijui mnata nin. Hiv huko ccm hakuna wachaga? Hiv wanaccm ambao ni wachaga si ndo wanaona ccm ndo chama cha kibaguz!
 
Mods wa JF!! Yaani huu uzi usiokuwa na jipya unadumu muda mrefu hivi? Ziko nyuzi zaidi ya 50 za 'ujumbe' kama huo.

Inashangaza kuona mtu anakurupuka tu name kusema CD itaanguka kesho bila kutoa sababu halafu uzi unaachwa tu!!!
 
Hao wanatumika kama dodoki, muda wao ukiisha yaani wachaga wakishika dola angalia mazengwe watakayotengenezewa, la Zitto ni dogo, just wait. Kama Nyerere alivyowatumia waislam kupata uhuru na baadae akawatosa, the same applies !
teh teh, kama ccm inavyowatumia wanyonge wa nchi hii kujipatia kura ili kuendelea kuwafisadi.
 
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.

Alamsiki.
ikishafika chini iokote basi utuletee kwenye uzi huu huuu

nyambaff
 
Tambua kigoma ni mkoa wa wasaliti tangu mwanzo. Unamkumbuka zito,tambwehiza,nzanzungwako,kabour. Hawa waliasi upinzani.

.... Mkuu Hapo Unakosea Sana, Masumbuko Lemwai Nae Ni Wa Kigoma? Wasira Je? Mbona Unakua Na Generalization Ya Kipuuzi. Ungekua Live Ningekupasua.
 
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.

Alamsiki.
Wacha ndoto mbaya hapa,ka kusambaratika mimi naiona ccm kusambaratika kabla na baada ya uchaguzi mkuu ,M2015 this forum quoted you that way ,na tutakuhitaji baada ya uchaguzi ujao uje hapa hapa ktk hii forum uje utuhakikishie hiyo statement yako. Mr Murage .M:canada:
 
hujielewi unafata mkumbo kama samaki. achana nao hao wachaga wanakupoteza wakati, slaa mwenye ni mzizi msaliti alilisaliti kanasa katoloki kwa uzizi wake wakumfukuza upadre, eti leo hii nilinataka kura za wanainchi. ha ha ha ha hakika slaa kuwa na raisi katika nchi hii ni sawa kusema sokwe ataitawala tanzania. shutuka wewe mtanzania, acha kuyumbishwa na warombo

Acha ujinga mimi ni mngoni nipo CDM watu wa sisiemu bhana majanga kweli kwa nchi hii
 
.... Kwa Hizi Koment Za Wanachadema Wenzangu Kuwapaka Matope Watu Wa Kigoma Kwamba Wote Ni Wasaliti Nawambieni Hamjui Mlitendalo, Kwa Taarifa Yenu Upinzani Hapa Inchini Ulianzia Huko, Mpaka Leo Kati Ya Wabunge 8 Watatu Tu Ndo Wa Ccm. Nitajie Mkoa Wenye Wabunge Wengi Wa Upinzani Kama Siyo Kigoma Tu. Acheni Upuuzi Sema Wanakigoma Wana Msimamo Na Hawapendi Kuburuzwa
 
acha ife, maana imetugeuza watanzania kama wajinga wote, nasema chadema kufa kufa kufa. wachaga wakapalilie migomba yao.

Ndiyo maana ccm sasa hivi ina maadui wengi kwasababu ya kauli za kibaguzi. Eti wachaga wakapalilie migomba,na wachaga waliopo ccm nao wafanyaje? Unabagua watu na wakati hata chama chenu kinao, wapo mpaka serikalini tena idara nyeti. Siri zikivuja au mkihujumiwa mnachanganyikiwa kumbe hao ulinao ndiyo watakuwa wa kwanza kuhujumu chama kwasababu ya kuwabagua kikabila. ccm iachane na kauli za kibaguzi mara ukanda, udini zote hizi zina athari kwenye chama. Chukulia uchaguzi wa serikali za mtaa Sumbawanga, zile kauli za ccm za kusema chadema ni chama cha kidini tena ukristo kimefanya wakristo kukisaliti ccm na kupigia kura chadema. Tuepuke hizi kauli za kibaguzi zitaua chama.
 
Nafurahi kwamba CDM itakufa baada ya uchaguzi. Mwanzoni mlisema kabla ya 2014 CDM ingekufa, leo naona mmebadirika eti itakufa baada ya uchaguzi? Ndoto za mchana hizo
 
Hii kusema chama cha Wachagga ni kupandikiza ukabila...chuki kuubwa Sana,Ipingeni CHADEMA kwa hoja na Sera,si ukabila,udini na ukanda.
 
hujielewi unafata mkumbo kama samaki. achana nao hao wachaga wanakupoteza wakati, slaa mwenye ni mzizi msaliti alilisaliti kanasa katoloki kwa uzizi wake wakumfukuza upadre, eti leo hii nilinataka kura za wanainchi. ha ha ha ha hakika slaa kuwa na raisi katika nchi hii ni sawa kusema sokwe ataitawala tanza nia. shutuka wewe mtanzania, acha kuyumbishwa na warombo

Una maana hata wachaga waliopo ccm akina Mwanri hawajielewi inabidi waende chadema? Kanisa katoliki lilishasema halijawahi kumfukuza Dr Slaa, alijitoa mwenyewe kwa kufuata taratibu na sio unafiki wako unaoleta hapa. Wadanganye ccm wenzako hao lakini suala la Slaa kuacha upadri lilishatolewa ufafanuzi mwaka 2010 baada ya unafiki na fitina za makada wa ccm kuzidi. CCM endeleeni na kauli zenu za kibaguzi tu lakini mwisho wake hata wale mlio nao watakapojitambua watawasaliti tu.
 
Back
Top Bottom