Anguko la CHADEMA lipo njiani

Anguko la CHADEMA lipo njiani

Hii ni simple research niliyo ifanya lakini ina mashiko sana kubali au kataa lakini ndio ukweli,

Ni hivi chadema ni chama cha siasa kilicho ibuka na kujipatia wanachama wengi kwa muda mfupi sana kiasi kwamba chama kinashindwa kuwa control wanachama wake kutokana na kukosa misingi imara ya kiuongozi kuanzia ngazi za matawi,kata,majimbo mpaka taifani.hapa nina maana kwamba chama hakiku jiandaa kiuongozi kukabiliana na wingi wa wanachama walio jipatia that is why kila mtu ndani ya chama ana sauti au kwa lugha nyingine kila mtu ndani ya chama ni mbabe.

Kwa maana hii ndio maana inakua kazi rahisi sana kwa ccm kupenya ndani ya cdm na kuwarubuni baadhi ya viongozi wa chama ktk ngazi zote na hatimae hata zinapo fanyika chaguzi utakuta ccm wanashinda kiurahisi sana kwenye maeneo mengi ya mijini na vijijini.

My take:chama kichukue muda wa kuji imarisha kiuongozi kwenye ngazi zote na kujengaNIDHAMU YA KIUONGOZIkwa wanachama wote kwa ujumla,ili kuepusha hii kitu ya kila mmoja kutaka kuwa na sauti chamani.la sivyo tutaendelea kuvuana uanachama kila uchwao na tutabakia kuwa wapinzani milele.

Mungu ibariki chadema.
Jamani tuache ushabiki WA vyama,tembeleeni hospital za serekali,shule za msingi na sekondari za kata hali Ni mbaya Sana,waalimu hata huo mshahara mdogo wanaupata kwa shida,wauguzi na madaktari hali Ni mbaya,juu ya yote chama changu CCM kimeamua kukumbatia rushwa adui WA haki,wameiigiza rushwa mpaka serekalini,Hanna jinsi ccm inapashwa kuwekwa kando ili nchi irudi mstarini,hali inatisha Sana inapokuwa silaha kuu Ni kutoa rushwa adui WA haki...
 
umenena vema ndg yangu, ni lazima CDM watengeneze kanunu za kuwafanya wanachama na viongozi waheshimu na kuamini katika itikadi ya chama.

Pia, wajengewe msingi wa uvumilivu badala ya kuamini katika urahisi wa mambo ma kuwa na tamaa ya uongozi, wajue fika kukiondoa chama dola kama CCM kilicho kaa madarakani karibia nusu karne c kazi nyepesi inahitaji uvumilivu, maono na jitihada zilizo jengwa katika msingi wa uvumilivu na kuaminiana.

Ni lazima Chama kibuni mbinu mbadala ya kurekebishana kuliko philosophy ya kufukuzana, hakuna chama duniani kiliwahi kuwa imara kwa misingi ya kufukuzana.

Kufukuzana ni kupunguza wanachama pengine wengi wasio onekana na kutambulika lakini muhimu Kwa uimara wa chama. Hata katika familia ijawahi toke baba anayependa kufukuza kila mke na watoto akawa na familia bora, ni lazima itayumba na kusambalatika.

Ni vizuri sasa CDM wakajipanga upya kimkakati maana naamini nafac ya kuongoza taifa hili kwao ni kubwa kuliko chama kingine cha upinzani hapa nchini, vinginevyo mtaushia kujilaumi na kushikana uchawi kila kuchapo.
 
Kaka naona umekaririshwa,akili yako haina akili,wakati watanzania wanawaza kukombolewa na chadema alafu wewe unaponda na inaonekana wewe umetumwa na mafisadi,ccm haiwezi kutawala milele kumbuka iko sku ccm kitaitwa ni chama cha upinzani kama kilivy ACT,tumia akili kabla hujapost maada.
 
Chadema ni Chama cha kikabila/ukanda hasa UCHAGA,rejea long form ya neno C.D.M (Chaga Developmental Manifesto),ngoja nikupe historia kidogo,kny miaka ya 1960's hv baahi ya wachaga walitaka kujitenga na kuanzisha nchi(nnji) yao kabla ya kutimiza lengo lao waliandaa ilani(manifeso) ikiwa km dira ya kutimiza adhma yao ambayo iliitwa (CDM-Chaga Developmental Manifesto) na hiyo ndio asili ya CHADEMA(CDM),na ndio maana hadi leo wachaga(cdm) wanaamini wao peke yao wanaweza na ndio watu sahihi wa kuongoza nchi hii,na ndio mana wanapendekeza utawala wa majimbo kutimiza adhma yao ya miaka hiyo,hawataki muumgano wakijidai wao ndio chaguo la Mungu.
pia kuna hili la undugu,nitatoa mifano kiufupi,tundu lissu na dada yake,mbowe(makengeza) na mpenzi wake+mkwewe,slaa na mkewe+hawara,mbowe na binamu yk nk wapo wengi ukitaka majina yao niambie nikutajie,ila wanajulikana kwn watanzania wengi wanajua hilo.
ubabe,cdm inauduktete wa hali ya juu,muulize kiongozi mmoja alipotaka kugombea uenyekiti nn kilimtokea,hadi wazee walimuweka "mtu kati" na majina mengi akapewa kisa kutaka kutumia democrasia yk vzr ndani ya chama!!
kuchukia wasomi,ukitaka ugombane na uongozi wa cdm ww utoe hoja za kisomi utachukiwa na wenye chama weee na kuitwa majina kibao ya kugushi,na hii kwa kuwa viongozi wengi wa cdm elimu yao ya kuunga unga hasa mbowe,slaa ni dkt lakini ni watheology hvy hajui uongozi na ndio maana alifukuzwa vatican,lissu "msomi jazba" hana hoja ya nguvu ana tumia nguvu sn kuelewesha hoja ndogo,mnyika form six leaver,hakumaliza chuo kikuu baada ya kufukuzw mara mbili na kuapa kutosoma hadi serikali ya ccm itoke madarakani.
ngono zembe,rejea viongozi wa cdm walivyojihusisha na ngono zembe ie mbowe na mbunge viti maalum hadi wakazaa mtoto(ngono zembe kwani inaonyesha hata condom haikutumika hadi kupelekea kuzaa mtoto),dkt wa theology slaa nae ngono zembe oriented,licha ya kukacha upadri na kudandia "uroda" kwa rose kamili hadi kutimuliwa upadri hakukoma akamtelekeza mke mkubwa na kuhamia kwa "mshumbushi" mke wa mpiga kura wake na kumfanya mkewe na kumuacha mpiga kura wake akilalama mahakamani.
udini,cdm ni ya udini sana hasa ukristu(RC),Rejea matamko mbali mbali ya viongozi wa kidini hasa wa RC wakiwaunga mkono cdm wakristu wenzao,wakatoliki wameshatoa waraka km mbili ama tatu wakiwaelekeza waumini wao wamchague kiongozi wa namna gani,adi ilifika hatua kingunge mwiru kuwakemea kabla ya waislam na madhehebu mengine kujibu waraka huo kwa namna yao!!HAPA INAONEKANA wa RC walitaka kumuweka padri slaa madarakani kwa makubaliano flan ie kuwapa fevor flan au vinginevyo!!
JIULIZE KWA NN ZITO WALIMCHUKIA NA BAADA YA KUWABWAGA MAHAKAMANI MBONA HADI LEO HAWAKUMFUKUZA??kwa nini MOSES MACHALI NA DAVID KAFULILA WALIFUKUZWA CHADEMA LAKINI WANANCHI WALIWAAMINI NA KUWAPIGIA KURA ZA NDIONA KUWA WABUNGE WAO??KWA NINI HABIBU MCHANGE NA WENZIE WALISIMAMISHWA NA WENGINE KUJITOA CHADEMA BAADA TU YAKUHOJI KWA NINI VIONGOZI WA JUU WA CHAMA WANAJIKOPESHA MAMILIONI YA 'sabodo' TOFAUTI YA MADHUMUNI YA KUTOLEWA KWAKE PAMOJA NA MABO MENGINE???TAFAKARI CHUKUA HATUA!!!!
 
sasa chinga hapa umenena neno la kama mia mia hiv kwenye hii page hapa ndo tatizo kubwa sana na ben hapa ndo hatu aya kuanzia
 
Jamani tuache ushabiki WA vyama,tembeleeni hospital za serekali,shule za msingi na sekondari za kata hali Ni mbaya Sana,waalimu hata huo mshahara mdogo wanaupata kwa shida,wauguzi na madaktari hali Ni mbaya,juu ya yote chama changu CCM kimeamua kukumbatia rushwa adui WA haki,wameiigiza rushwa mpaka serekalini,Hanna jinsi ccm inapashwa kuwekwa kando ili nchi irudi mstarini,hali inatisha Sana inapokuwa silaha kuu Ni kutoa rushwa adui WA haki...

"Rushwa si jambo baya ila inategemea jinsi utakavyoitumia" - F Mbowe
 
Hii ni simple research niliyo ifanya lakini ina mashiko sana kubali au kataa lakini ndio ukweli,

Ni hivi chadema ni chama cha siasa kilicho ibuka na kujipatia wanachama wengi kwa muda mfupi sana kiasi kwamba chama kinashindwa kuwa control wanachama wake kutokana na kukosa misingi imara ya kiuongozi kuanzia ngazi za matawi,kata,majimbo mpaka taifani.hapa nina maana kwamba chama hakiku jiandaa kiuongozi kukabiliana na wingi wa wanachama walio jipatia that is why kila mtu ndani ya chama ana sauti au kwa lugha nyingine kila mtu ndani ya chama ni mbabe.

Kwa maana hii ndio maana inakua kazi rahisi sana kwa ccm kupenya ndani ya cdm na kuwarubuni baadhi ya viongozi wa chama ktk ngazi zote na hatimae hata zinapo fanyika chaguzi utakuta ccm wanashinda kiurahisi sana kwenye maeneo mengi ya mijini na vijijini.

My take:chama kichukue muda wa kuji imarisha kiuongozi kwenye ngazi zote na kujengaNIDHAMU YA KIUONGOZIkwa wanachama wote kwa ujumla,ili kuepusha hii kitu ya kila mmoja kutaka kuwa na sauti chamani.la sivyo tutaendelea kuvuana uanachama kila uchwao na tutabakia kuwa wapinzani milele.

Mungu ibariki chadema.

Msingi mkuu wa anguko la CHADEMA ni ujinga wa watanzania tuna uwezo finyu wa kuchambua mambo kivipi nchi inflation rate iko juu, unemployment rate iko juu, huduma za afya mbovu, balance of payment mbovu, CCM wanatawala kisultani kwa kurithishana, serikali ya CCM imejaa mabavu wanalazimisha mfano serikali mbili kinyume cha wengi, viongozi wa CCM wezi wanaliibia taifa na kuficha mabilioni Uswiss huku wakiacha wananchi mafukara kivipi hapo CCM wazidi kutawala? Ni ujinga wetu watanzania ambao wengi uwezo wa kujua mambo mdogo. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watu wakichoka na watawala wanaweza chagua kichaa kutawala kwa mfano huo kwanini watanzania waliochoka wameshindwa kuweka chadema madarakani hata kama tunawaona wanamapungufu? Mengine tutasort huko mbele na mapungufu yao ni machache kulinganisha na mafisadi CCM
 
Mpango wa Shetani lazima ushindwe.Hakika Chadema mwisho wake umefika
 
Kila kitu hatua kwa hatua.Kila kitu kipo strategically

Bwana Ben Saanane, kuna haja a ku-restrategy na moja ya kitu kikubwa ni single solution for all problems..... sijui kwanini uongozi ulitumia njia hiyo moja kwa mara zote, hilo ni kosa kubwa sana !! huko mbeleni kama mnaweza CDM, anzisheni moto mashinani, wala hamhitaji wabunge, ni timu ya vijana na viongozi wengine. Kwa kutumia haya mabadiliko ya katiba, hotuba ya mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji J.S Warioba, UKAWA, hotuba ya JK kwenye Bunge na mwenendo wa BLK

CDM msipo enda kwa sasa mikoani, katibu wa CCM atawamaliza maana yupo kwenye kampeni ya serikali mbili, kutangaza msimamo wa chama chake cha CCM, mkija kwenda baadae mtakuta watu wamekula sumu na wameshapoteza uhai, wamekufa na kuzikwa kwenye Msimamo wa CCM na hata hiyo Kura ya refrandam ya katiba ya serikali mbili itapita kwa urahisi sana!!

Ni wakati UKAWA ikaandaa sasa hamasa kwa pamoja nje ya bunge kwa kutumia wasemaji, makatibu na viongozi mbalimbali wa vyama vya upinzani kutembea mikoani, kuelezea uzuri na ubaya wa maoni ya rasimu ya katiba mpya, ili watu wapate ufahamu nini kina endelea bungeni, wajibu wao utakuwa ni nini!!

my 5%cnts

SP
 
Leo ndugu yangu Chinga one umekuwa mwelevu kujua nini hasa tatizo la CDM. Kwa hakika chadema ni chama kilichojaa ghiriba na ufeudhina mkubwa!

Chama kimekengwa kwa misingi ya ubaguzi na usultani. Hii ni hatari sana ndugu yangu ndio maana huungwa mkono sehemu Moja tu. Utakuwa kichaa kufikiria kuwa ukipendwa na Jimbo Moja basi utashinda nchi nzima! Na baado Subiri 2015 chadema haitaamini kitakachokipata!

Tuombe Mungu tutayaona mengi!
 
Hata walizinguka nchi nzima hawa UKAWA hakuna kitu tena wakiambatana na CDM basi mwishowe ni majuto!

CDM kinapoteza, kimepoteza na kitapoteza mvuto haraka na kwa kasi kubwa!
 
upeowako wa kawaida wa kuchambua mambo,

chama kitakufa pale tu kitakapoacha kusimamia mambo ya msingi kinachoyaamini na ambayo ni madhumuni ya kuanzishwa kwacho si vinginev
mbona tumezoea hizi ramli mnazopiga kila siku,

cha kushangaza upande wa pili ndo wanazidi kuparaganyika juzi wammemtegeshea mwenzao meno ya tembo kwenye gari ili wamchafue, ashindwe mbio za uraisi,

kwa mtazamo wa akili ya mtu wa kawaida anaweza dhani ni jambo dogo lisilo na madhara lakini kuelekea 2015 kuna mpasuko mkubwa upande wa pili mini usiamini

mliberali ndugu yangu acha upofu chama chochote ambacho viongozi wake hawana nidhamu na kila mmoja anajiona ana meno ni hatari sana hapo matokeo yake ndio hivyo tena tunaishia kutimuana timuana hata hivyo hiyo misingi unayo isema kwa chadema ni nidhamu ya uongozi pia kwa ngazi zote ambyo mpaka sasa viongozi wameshindwa kuisimamia ama wamekosa strategy ya kudumisha nidhamu na huo ndio ukweli mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Leo ndugu yangu Chinga one umekuwa mwelevu kujua nini hasa tatizo la CDM. Kwa hakika chadema ni chama kilichojaa ghiriba na ufeudhina mkubwa!

Chama kimekengwa kwa misingi ya ubaguzi na usultani. Hii ni hatari sana ndugu yangu ndio maana huungwa mkono sehemu Moja tu. Utakuwa kichaa kufikiria kuwa ukipendwa na Jimbo Moja basi utashinda nchi nzima! Na baado Subiri 2015 chadema haitaamini kitakachokipata!

Tuombe Mungu tutayaona mengi!

habariyamujini kukosolewa na kukubali kukosolewa ni dalili ya ukomavu wa akili na upeo.
 
Last edited by a moderator:
umenena vema ndg yangu, ni lazima CDM watengeneze kanunu za kuwafanya wanachama na viongozi waheshimu na kuamini katika itikadi ya chama.

Pia, wajengewe msingi wa uvumilivu badala ya kuamini katika urahisi wa mambo ma kuwa na tamaa ya uongozi, wajue fika kukiondoa chama dola kama CCM kilicho kaa madarakani karibia nusu karne c kazi nyepesi inahitaji uvumilivu, maono na jitihada zilizo jengwa katika msingi wa uvumilivu na kuaminiana.

Ni lazima Chama kibuni mbinu mbadala ya kurekebishana kuliko philosophy ya kufukuzana, hakuna chama duniani kiliwahi kuwa imara kwa misingi ya kufukuzana.

Kufukuzana ni kupunguza wanachama pengine wengi wasio onekana na kutambulika lakini muhimu Kwa uimara wa chama. Hata katika familia ijawahi toke baba anayependa kufukuza kila mke na watoto akawa na familia bora, ni lazima itayumba na kusambalatika.

Ni vizuri sasa CDM wakajipanga upya kimkakati maana naamini nafac ya kuongoza taifa hili kwao ni kubwa kuliko chama kingine cha upinzani hapa nchini, vinginevyo mtaushia kujilaumi na kushikana uchawi kila kuchapo.

well said..
 
Kaka naona umekaririshwa,akili yako haina akili,wakati watanzania wanawaza kukombolewa na chadema alafu wewe unaponda na inaonekana wewe umetumwa na mafisadi,ccm haiwezi kutawala milele kumbuka iko sku ccm kitaitwa ni chama cha upinzani kama kilivy ACT,tumia akili kabla hujapost maada.
Huja elewa ninacho kiongelea hapa na kama ndio hivyo hutokaa uelewe mambo kama una kua indoctrinated kiasi hicho bila hata kutumia 0.1% ya akili yako kuchambua mambo.

ukiona elimu ni ghali basi jaribu ujinga...
 
Kwani CHADEMA imeanguka? Anyway, kumbe umesema umefanya 'simple' research!!
 
Msingi mkuu wa anguko la CHADEMA ni ujinga wa watanzania tuna uwezo finyu wa kuchambua mambo kivipi nchi inflation rate iko juu, unemployment rate iko juu, huduma za afya mbovu, balance of payment mbovu, CCM wanatawala kisultani kwa kurithishana, serikali ya CCM imejaa mabavu wanalazimisha mfano serikali mbili kinyume cha wengi, viongozi wa CCM wezi wanaliibia taifa na kuficha mabilioni Uswiss huku wakiacha wananchi mafukara kivipi hapo CCM wazidi kutawala? Ni ujinga wetu watanzania ambao wengi uwezo wa kujua mambo mdogo. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watu wakichoka na watawala wanaweza chagua kichaa kutawala kwa mfano huo kwanini watanzania waliochoka wameshindwa kuweka chadema madarakani hata kama tunawaona wanamapungufu? Mengine tutasort huko mbele na mapungufu yao ni machache kulinganisha na mafisadi CCM

Sijakataa mkuu ila sasa utayari na uimara wa chama kinacho tarajiwa kuchukua dola uko wapi? kama viongozi wa ngazi za chini na hata ngazi za juu wako fragile kiasi hiki we unadhani unaweza kuwaaminisha wananchi wawape ridhaa? watanzania mda mwingine sio wajinga kaka..Nidhamu ya kiuongozi ndio nguzo ya mafanikio,usi jadili hili neno "nidhamu ya kiuongozi" kwa upeo mdogo hauto elewa kamwe ninacho kiongelea hapo.
 
Back
Top Bottom