Anguko la CHADEMA lipo njiani

Wakimbieni;
hawakawii kujipiga mabomu wenyewe;
siyo watu wema hawa.

 
Ni mwehu peke yake anaeweza kuweka mapenzi yake kwa CDM
 
Mtaugua sana mwaka huu
na bado hadi mchanganyikiwe muanze na kubeba makopo barabarani.

Ccm bwana hao waokota makopo barabarani si ndo sera yenu,Sera yenu ya kujiajiri kuna mamantilie waokota makopo na bodaboda
 
Kalenga si kigezo cha kujidanganya kwamba CDM inapungua umaarufu. Pale ilikuwa ni kujipima nguvu na kuona jee parapanda la CDM limeshawafikia wananchi hasa wale wa vijijini? Jibu hapana ina maana kazi kubwa lazima ifanyike sasa - ni nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa, kitongoji kwa kitongoji hasa mikoa ambayo bado imelala -TABORA, IRINGA, SINGIDA na DODOMA.
 
Mnakimbia mapori mnataka ajira ambazo hazipo;
njoo huku niliko nikutatie hata miguu sabini kwa sabini ulime ufuta.

Ccm bwana hao waokota makopo barabarani si ndo sera yenu,Sera yenu ya kujiajiri kuna mamantilie waokota makopo na bodaboda
 
mungu wako wa baali siyo Mungu wangu wa Eliya.


Mungu wa Elia ndio anakuambia ushirikiane na wezi kuiba mali za watanzania? Au wewe ni chakula yao. Linda ugani wako mama manae wakiondoka hao utakula nyasi
 
Hayo ni mawazo yako;
Wenzio wanachokijua ni matukano tu;
si unaona tofauti zenu zilivyo, hivi kweli mtafika?

 
Kama ni kweli ni kwa sababu ya watu msiojitambua kama wewe!
 
Hata lile kundi langu la wazee pale mtaani kwangu
wengi walikuwa hicho chama lakini wamenyoosha mikono juu;
karibia wote wamesharudi kundini .... CCM.

Ni mwehu peke yake anaeweza kuweka mapenzi yake kwa CDM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…