lovebitelol
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 964
- 972
Assalamu Alaikum wana Bodi wote.
Hii kwa ajili ya watu wote wenye mapenzi mema na demokrasia ya hapa nyumbani.
CHADEMA kilikuwa na muonekano wa kuweza hata kuiongoza dola.
Tatizo ni nini kimetokea kwa hawa watani zangu hadi kufikia hali hii.
Je, ni kwa ajili ya kuendesha chama kama kikundi cha dini?
Je, ni kwa ajili ya kumtosa yule mheshimiwa dogo wa kule kigoma?
Je, ni kwa ajili ya viongozi kungangania madarakani?
Au walijisahau wapi?
Najua kabisa watani zangu matusi ndiyo jadi yenu lakini ukweli utaendelea kusimama;
Nawasilisha.
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.
Bado una hangover ya Kalenga hapa huwezi kuelewa kitu endelea kumeza painkiller.Sio lazima kupost, unaweza kuchangia kwa wenzako wanaopost kamba za kueleweka afu ukaongeza idadi za post na rep
power. Kamba haieleweki mamdenyi!! review
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.
kipimo cha ukomavu nini? ni kukaa kimya wakati rasilimali zetu zinaporwa? wewe unataka utukanwe lakini sisi tutakueleza ukweli..kwa tafsiri yako unaweza kusema ni matusi..but anyway it depend how you look things in the politics point of viewKinachowamaliza ndio hiki;
hamjakomaa kisiasa;
hivi unafikiria kuwa naogopa matusi mimi?
BUKU SEVEN at work.....
Hahahahaaaa.. vipofu bwana, eti uchambuzi murua.. Hii kweli mahaba nitese. Mtasubiri sana hilo anguko na badala yake mtajikuta mnaanguka nyie.
Matusi ni dalili za kuchanganyikiwa
mbona helcopter inakutetemesha sana? hii ni aina ya usafiri tu, hata maccm siyameiga nayo yanatumia? but all in all we needs good roads which can be passable throughout the yearHakuna wanachokifanya;
Hivi ukiwa unaruka huko angani ha helkopta utawaona wapi hao wananchi ili usemezane nao?
ole wao wachekao sasa maana watalia na waliao watacheka.
Wee umepangiwa na Mungu kutoa thread za kimapenzi tuu siasa iwe kushoto. Ongea mambo za dushelele na hyo yako tutakuelewa
Bado una hangover ya Kalenga hapa huwezi kuelewa kitu endelea kumeza painkiller.
mwanamke -------- sana huyuHakuna wanachokifanya;
Hivi ukiwa unaruka huko angani ha helkopta utawaona wapi hao wananchi ili usemezane nao?
Na ukiona unaanza kutukana hovyo inakubidi ujiwahishe mirembe.
Kwanza nikupongeze kwa uchambuzi wako murua uliondika ni ukweli mtupu, ni kweli anguko la Chadema limetimia.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.....
mwanamke -------- sana huyu
Hatutaki waanguke tunataka wawe wazalendo na kutii mamlaka mambo yao ya kihuni waachane nayo
We kweli behewa hapo kuna uchambuzi gani?