Anguko la CCM ni dhahiri sasa

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,619
Reaction score
9,163
Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi.

Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
 
Kwakweli hali ni mbaya kwenye hiki chama. Ngoja arudi toka huko ulaya mashariki, atayakuta tu ambayo hakuyategemea.
 
Haya anayajua
Akili yake ameielekeza atoe rasilimali zipi kwa Putin ili ionekane wako pamoja. Tunapoteza ushirika wa Magaribi wenye faida kubwa kwenye maendeleo na ukuwaji wa uchumi wetu na kukumbatia umasikini. Tangia 1979 baada ya vita vya Kagera hao warusi walishafanya kitu gani hapa nchini chenye tija?
 
Kwamba tutakuwa kama Congo, watu watagawana nchi vipande vipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…