Angola warusha Satellite ya kwanza

Angola warusha Satellite ya kwanza

kwani wewe ni mzuri? picha ya avatar hiyo si umekiopi tu hapo...si ajabu we ni mbaya kama dubu...anonymous names and pictures zinawaficha sana. hata hivyo, kama ulishawahi kudinywa hadi na dingi yangu basi we ni malaya sana. ok, kwanza hayo ni maisha yako. ila iyo kitu itakuwa imekuathiri sana kichwani, muda wote unawaza kutiwa tu kama wale unaowapost. badilika.

Mada angola unaleta personal life kaaz kweli kweli staki kula Ban leo halaf sina mood ya kukuzibua leo so ASANTE SANA SIKUFAHAM HUNIFAHAMU.
 
kumubidiisha nani sasa, kawaida mimi najibiidiisha muda wote kwaajili ya mke wangu na watoto na future yangu...kujibiidiisha kwa ajili ya hii serikali ni second priority mkuu. bashite na faru joni hawatakuacha salama,
Ni vizuri kuhangaikia familia. Ila kwa vile unaamini kuwa hawatakuacha salama, basi tusipowadhibiti wanaweza kukunyanganya hata hicho kidogo unachoitafutia familia yako na usiwe na la kuwafanya.
 
ni sawa na umemvesha mkeo pete lakini anakaa kwangu, analala kwangu, mimi ndo namhudumia,...utasema ni mkeo huyo?
Hapo sawa, hata mimi nilipoona post kwa mara ya kwanza nilidhani ni kazi ya mikono ya waangola. Kumbe wamenunua tu.
 
Hapo sawa, hata mimi nilipoona post kwa mara ya kwanza nilidhani ni kazi ya mikono ya waangola. Kumbe wamenunua tu.
kama ni kitu chenye faida, unafikiri mrusi atamgea tu? alafu, russia wana hofu sana ya tech zao zote, huwa wanaogopa wakifanya mmarekani asijeikopy na kutengeneza kitu bora kuliko wao hivyo wanasayansi na kila kitu walikuwa warusi ila wameweka tu pale bendera ya angola, wakiwafundisha sayansi ile waangola mmarekani hachelewi kuwanunua wanaenda kumsimulia everything kuhusu mrusi na wanampiku...ndio maana ni nguvu sana kwa russia kuuza hata zile silaha zake bora kwa third word countries hata kwa nchi za ulaya, yuko very selective.
 
Nchi ya Angola mnam December 7, 2017 walirusha satellite yao ya kwanza iliyojengwa nchini Urusi

Hongerani Angola kwa kupiga hatua kubwa

6578b7b404a413460ac65f5abea263f4.jpg


0bceae96b36ea259a8534383a73e98b1.jpg


9d7f777801e78a4d96135cb2900d96b3.jpg



Source

Angola's First Satellite to Be Launched From Baikonur Spaceport Dec. 7
sisi tumefanikiwa kurusha bombardier,vip hatuingii kwenye historia
 
Hapo sawa, hata mimi nilipoona post kwa mara ya kwanza nilidhani ni kazi ya mikono ya waangola. Kumbe wamenunua tu.

Serikali hata ya Marekani haitengenezi yenyewe hizi mitambo kuna makampuni kama Lockheed Martin ndio yanafanya nyie Tizedi hata kuunda kijiko cha ubwabwa Mara Paap Tanesco wamekata umeme
 
kingelikuwa chao si wangetengenezea luanda, na wasingehitaji msaada wa warusi. hapo waliotengeneza ni warusi na sio waangola. tuache kufarijiana.
Haina kujifariji ila ni ukweli wqmepiga hatia kubwa sana. Hata kama hawajatengeneza kiwandani kwa nchi yao,basi na nyinyi katengenezeni yenu marekani. Wametengeneza warusi lakini imelipiwa na wa Angola, ownership ni serekali ya Angola. Msijitie majinuni hata kwa vitu vya maana. Mbona unakiita kikombe chako lakini ukikigeuza limeandikwa made in China. Simu yako lakini made in somewhere. Take chill pillz
 
ndo maana nilikuita malaya, ona sasa unanitaka kinguvu.

Labda nikutake kukulisha NANASI malaya ni mama ako alie spread legs kwa baba zako tofaut tofaut wakamkojoza ndo upo wewe kichwa kimejaa oil chafu na grisi za trekta . Anzisha uzi twende sawa sio hapa kwenye masuala ya Angola anzisha uzi au anzisha grup la wasap tupambane me n u kama ujawekewa mezani nanasi na Umma.
 
haha
Labda nikutake kukulisha NANASI malaya ni mama ako alie spread legs kwa baba zako tofaut tofaut wakamkojoza ndo upo wewe kichwa kimejaa oil chafu na grisi za trekta . Anzisha uzi twende sawa sio hapa kwenye masuala ya Angola anzisha uzi au anzisha grup la wasap tupambane me n u kama ujawekewa mezani nanasi na Umma.
hahahaha, kama walimkojoza si bora aliinjoy,,,kuliko wewe unayespread upate hela na sio watoto.
 
Back
Top Bottom