Angola warusha Satellite ya kwanza

Angola warusha Satellite ya kwanza

Kuna upuuzi mwingine ukiusoma unatamani ujiondoe Jf, mtu anaifananisha Angola na Tanzania, unataka turushe setellite kisa Angola karusha? Simlaumu mleta mada kwa sababu umetupa taharifa, rakini kuna wachangiaji sijui kwanini hawajipimi kwamba siyo kila mada ni level yako ya uchangiaji? Vitu vingine msichangie kama mnaona vinawazidi uwezo wa kufikiri, kwa taharifa yenu hata nchi za Ulaya si zote zina setellite juu, sisi bado tuna mambo mengi yakufanya kuendelea kabla ya kuwaza setellite,
Kwa taharifa yako, Africa ni nchi chache zina huo mzigo Angani, hata Kenya yenyewe haina.nazo ni;
.Egypt
.South Africa
.Morocco
.Algeria
.Nigeria
.Mauritius
Kweli kuwa shabiki WA ccm ni zaidi ya laana....

Mtu unajifanya mjuaji hata kuandika hujui....!!!!!!!!

Taharifa× 2 ...???? Ccm sijui mnafundishana UJINGA?????
 
Mind you...Angola was having a civil war for over 30 years. And we Tanzanian had have peace for over 56 years yet we have nothing to show except poverty and misery
Kuwa na vita hsimaanishi nchi haiendelei uchumi WA nchi hauna correlation na miaka ya Uhuru WA nchi husika
Bali ubunifu na uwajibikaji WA watu wake ndo nyenzo kubwa ya maendele
years of independence is just a number that countable but devpt is a process
 
Satellite imetengenzwa na kampuni ya urusi. Imerushwa kwa rocket za urusi. Kutuo cha kucontrol hiyo satellite huko angola kimejengwa na urusi na wafanyakazi wamepewa mafunzo na urusi. Hapo bendera inayotakiwa kutolewa ni ya angola sio urusi
hivyo vitu vyote ulivyovitaja angola kavilipia-ndio maana nasema ukisha nunua kitu umiliki unakuwa wako haikutakuwa kuwepo na bendera ya urusi pale.labda kuwe na vitu ktk umiliki ambavyo havijakaa sawa
 
Kuwa na vita hsimaanishi nchi haiendelei uchumi WA nchi hauna correlation na miaka ya Uhuru WA nchi husika
Bali ubunifu na uwajibikaji WA watu wake ndo nyenzo kubwa ya maendele
years of independence is just a number that countable but devpt is a process
Sasa shida yetu watanzia ni nn? Tunahitaji miaka mingapi ili tuweze hata kuwafikia Angola?
 
Nilikuwa nakujulisha tu kama wao wanauza hiyo almasi miaka mingi tu kama sisi na hayo mafuta ambayo sisi hatuna(hatuuzi).
Karibu madini mengi ambayo tunayo wao pia wanayo wanauza, lakini sisi tunauza Tanzanite ambayo wao hawana, mapato ya hii Tanzanite ni madogo kuliko mapato ya Petroleum ambayo wao wanauza.
Hizi ni execuses zetu tu tumeshazizoea. Kila siku aheri ya jana.
 
angola wana mafuta wameanza kuuza kitambo,...ninyi mna mafuta?

Kama na wewe ni GT basi tumekwisha. Mafuta ni nini mbele ya vipaumbele?? Sisi hatujawahi kupigana vita, tumekuwa tukiuza madini mpaka hata udongo wake. Tumejaliwa madini yanayohitajika kutengeneza hayo makitu mfana Uranium. Wewe unasema ati wenzetu wana mafuta?? Pesa zetu tunachojua ni kuzihifadhi kwenye chungu kikijaa tunagawana kwa masandarusi na kununua wapinzani. Pole zako. Nikuulize, Kipaumbele chetu ni nini??
 
kingelikuwa chao si wangetengenezea luanda, na wasingehitaji msaada wa warusi. hapo waliotengeneza ni warusi na sio waangola. tuache kufarijiana.

We naona ushalewa gongo za Krismas..Kwa hiyo magari, ndege treni pikipiki na mashine zote zilizoko hapa bongo si zetu. Ni msaada kwa sababu hatutengenezi hivi vitu.
 
Hizi ni execuses zetu tu tumeshazizoea. Kila siku aheri ya jana.
Mkuu mimi sikatai uzembe na matatizo yetu. Lakini kwanza ukubali facts nilizokupa.

Pili tujiulize hiyo satelite ya Angola ni kwa matumizi gani?

Je sisi tunahitaji sana ya kwetu kwa sasa?
Kipaumbele chetu ni nini kwa sasa?

Isiwe sababu wao wanayo basi nasi tukimbilie hata kama sio kipaumbele chetu.
Mbona wao hawana mradi mzuri wa mabasi ya mwendokasi kama wa kwetu wakati wanauza mafuta na almasi? Sababu pengine kwao sio kipaumbele chao kwa sasa kuliko satelite.
 
Kuna upuuzi mwingine ukiusoma unatamani ujiondoe Jf, mtu anaifananisha Angola na Tanzania, unataka turushe setellite kisa Angola karusha? Simlaumu mleta mada kwa sababu umetupa taharifa, rakini kuna wachangiaji sijui kwanini hawajipimi kwamba siyo kila mada ni level yako ya uchangiaji? Vitu vingine msichangie kama mnaona vinawazidi uwezo wa kufikiri, kwa taharifa yenu hata nchi za Ulaya si zote zina setellite juu, sisi bado tuna mambo mengi yakufanya kuendelea kabla ya kuwaza setellite,
Kwa taharifa yako, Africa ni nchi chache zina huo mzigo Angani, hata Kenya yenyewe haina.nazo ni;
.Egypt
.South Africa
.Morocco
.Algeria
.Nigeria
.Mauritius
mkuu ni taarifa sio tahalifa..
 
I think TUNISIA pia wanayo
 
Back
Top Bottom