ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Wewe inawezekana ndiye mwenye majibu stahiki juu ya kupongezwa kwa Angola ktk hili, kwamba wanasayansi wa Angola wameiunda ila rocket za kirusi ndizo zilizokodishwa kuirusha, kama ni hivyo sawa.Wamerusha kwa kutumia rocket ya mrusi,
ni kawaida sana,hata waisrael mara nyingi wanarusha satelite zao kwa kutumia rocket la mmarekani ama mhindi,
ili uweze kurusha kitu kwenda anga za juu mpaka uwe umemudu technology ya ballistic missile,yale maroket kimfumo yanafanya kazi kama ballistic missile,
so nchi ambazo mara nyingi hawana hiyo tech,au kwa kubana matumizi na kuokoa mda hutumia maroket ya nchi zenye tech hiyo kuweka satelite zao anga za juu



