Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,741
- 12,842
Na hii vipi?Uislam ndio Dini ya haki. Ndio mila ya Nabii Ibrahim, Musa na Nabii Issa bin Maryam.
Uislam una mipaka na sharia.
Uislam una taratibu zake.
Uislam ni mfumo wa Maisha.
Uislam hauendeshwi na mawazo ya mtu bali sharia ndio zinaiendesha Uislam. Ukitoka nje ya hapo ukavuka mipaka ya Uislam basi wewe si mwislam. Bali ni kafiri
Unaposema hakuna Mungu una uhakika GANI. Hivi ulishawahi kulitazama umbile la Dunia, umbile la mwanadamu (tofauti ya mwanadamu na wanyama), umbo la mbingu na ardhi, umbila la bahari?? Hivi haya yote hakuna muumbaji aliye yaumba??
Everything that exit must be have creator...