Anglikana sasa ndoa za jinsia moja ruksa

Anglikana sasa ndoa za jinsia moja ruksa

Sasa sijui itakuaje?Baada ya kanisa takatifu la mitume sasa ni Anglikana
Kanisa la Anglikana Uingereza launga mkono huduma kwa wanandoa wa jinsia moja

CHANZO CHA PICHA,REUTERS

Maelezo ya picha,

Kura ilipitishwa na marekebisho kwa baadhi ya huduma maalum kufanyika mapema kuliko ilivyotarajiwa

Saa 9 zilizopita

Wanandoa wa jinsia moja wataweza kuwa na huduma maalum za kupata baraka katika parokia za Kanisa la Anglikana Uingereza kwa mara ya kwanza.

Huduma hizo , ingawa sio za harusi rasmi, zitaweza kujumuisha kuvaa pete, sala, confetti na kupokea baraka kutoka kwa kuhani.

Marekebisho ya kuunga mkono huduma ili iwekwe kwa majaribio yalipitishwa na bunge la Kanisa hilo kwa kura moja.

Fundisho rasmi la Kanisa la Anglikana Uingereza ni kwamba ndoa ni kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja tu.

Mapema mwaka huu, maaskofu walikataa kuunga mkono mabadiliko ya mafundisho ambayo yangeruhusu makasisi kuoa wapenzi wa jinsia moja, lakini walisema wataruhusu maombi ya baraka kwa watu walio katika uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja kama sehemu ya huduma pana.

Ilikuwa imefikiriwa kuwa uidhinishaji wa huduma za kujitegemea huenda usije kwa zaidi ya mwaka mmoja kutoka sasa.

Lakini kura ya Jumatano, ambayo ilipita kwa uchache katika Sinodi Kuu, chombo cha kutunga sheria cha Kanisa, inamaanisha huduma tofauti za baraka sasa zinaweza kuruhusiwa, badala ya maombi tu ndani ya ibada ya kawaida ya kanisa.

Ingawa hakuna muda uliowekwa wa huduma za majaribio ya muda kuanza, inaeleweka kuwa hizi zinaweza kuidhinishwa katika wiki zijazo na huduma za kwanza katika mwaka mpya.

Pendekezo la huduma za pekee kwa msingi wa majaribio lilijiri katika marekebisho ya hoja. Mchakato rasmi wa uidhinishaji, ambao utachukua takriban miaka miwili, utafanyika wakati kesi inaendelea.

Askofu wa Oxford, Mstaafu Rev Stephen Croft, ambaye amefanya kampeni ya mabadiliko katika msimamo wa Kanisa, alisema "amefurahishwa".

Akibainisha ibada hizo hazitakuwa harusi rasmi, aliongeza: "Natumai kutakuwa na furaha na uthibitisho sawa na wale wanaokuja kupokea maombi haya watahisi kukaribishwa kikamilifu katika maisha ya kanisa."

Msimamo rasmi wa Kanisa la Anglikana Uingereza kuhusu ndoa unakinzana na toleo lake la Kianglikana nchini Scotland - The Scottish Episcopal Church - na Presbyterian Church of Scotland, ambayo yote yanaruhusu ndoa za watu wa jinsia moja.

Kanisa la Kianglikana nchini Wales limetoa huduma iliyoidhinishwa ya baraka kwa wapenzi wa jinsia moja lakini haliruhusu ndoa za jinsia moja kanisani.

Jayne Ozanne, mwanaharakati mashuhuri wa LGBT ambaye anaketi kwenye Sinodi Kuu ya Kanisa la Uingereza, alitoa wito kwa Kanisa kubadili msimamo wake ili kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuoana.

"Kanisa la Anglikana linasalia kuwa na chuki kubwa dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, hata iwapo maaskofu watasema chochote," alisema.

"Ninahofia kwamba sehemu kubwa ya taifa itahukumu Kanisa la Anglikana kuwa lenye matusi, lenye unafiki na lisilo na upendo - kwa kusikitisha, wako sahihi."

Wakati huo huo, makasisi wa kihafidhina waliielezea kama wakati wa kihistoria.

Mchungaji Canon John Dunnett, mkurugenzi wa kitaifa wa Baraza la Kiinjili la Kanisa la Uingereza, alisema alihisi "kuhuzunishwa" na uamuzi huo.

"Itasambaratisha parokia, kuharibu uhusiano kati ya idadi kubwa ya makasisi na maaskofu wao na kusababisha makanisa katika dayosisi kuhisi kana kwamba wachungaji wao wamewaacha," alisema.

Chanzo: BBC
Kanisa litajuta kuamini kuwa nguruwe ana uwezo wa kulinda lulu hata kumkabithi kwa kumuamini

Mathayo 7:6
[6]Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
Give not that which is holy unto the dogs, neither cast ye your pearls before swine, lest they trample them under their feet, and turn again and rend you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapi umeona mtume kaoa mtoto wa miaka sita???
Mbona unapotosha historia ya mtume???
Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka tisa na hakuanza kumuingilia km udaiavyo.
Na kwa minajil ya miaka ya zamani balehe zilikua zikiwahi hivyo bi.aisha alishaanza kuvunja ungo
Mzee punguza maneno unajikaganyaga tuu, ina maanisha waislamu wenzako wanaosemaga hizo story hawajui, wewe tuu ndo unazijua story za Muhammad kuwazidi hao wote.

Okay let's say ana miaka 9, hivi yeye 50 years old alikosa wanawake wengine wa kuwaoa hadi aje are binti mdogo hivo?? Au ni pedophilia ilikuwa inamsumbua??
Angekuwa ni padre wa kikatoliki amefanya hivo, yaan padre mweny miaka 50 aoe katoto cha miaka 9, ulimwengu utamchukulia? Kama sio child abuser, child molester and a pedophile.

Tatizo lenu mkikaa huko kumezeshana kiarabu mnadanganyana eti ndoa ya Muhammad na Aysha ilikuwa ya kimakakati, kwa sababu aysha alikuwa ana uwezo mkubwa wa kukakiri mafungu ya Qur'aan sijui ndo maana akamuoa, porojo tuu hizo pedophile ni pedophile tuu.

Ukifanya jambo baya hapa duniani halitasahaulika kamwe na jamaa kafanya mambo mengi mabaya, tena kwa jinsi jamaa alivokuwa maarufu ilikuwa ni ngumu mno kuyaficha, endeleeni kumtetea.
 
NAONA KIJANA UNABWABWAJA SANA.
HALAFU UNAONGEA VITU KWA KUKARIRISHWA,WACHA NIKUELEKEZE.
HIYO CHILD ABUSE,EARLY MARRIAGE ZIMEKUJA KUTAMBULISHWA SASA KATIKA HII MILLENNIAL GENERATION KULINGANA NA TARATIBU ZA SASA ZA MAISHA.
MTOTO KUWA NA UMRI GANI NI SHERIA ZILIZOTUNGWA SASA ILI KUENDANA NA MTINDO WA SASA WA MAISHA KWAMBA KUNA SHULE KUNA CHUO NA MENGINEYO.
ILA TARATIBU ZA ZAMANI MTOTO WA MIAKA 12 AU 13 MPAKA UZUNGUNI ANAKUA KESHAOLEWA.
PIA USIKAE UKABISHA PUBERTY STAGE YA SASA NA ZAMANI HAZIFANANI KIJANA.
MTUME ALIMUOA BI AISHA AKIWA NA MIAKA 9 NA ALIMKUZA KABLA YA KUFANYA NAE VITENDO VYA KIUTU UZIMA.
MAANA ALIKUA NA WAKE WENGINE KINA ZAINAB ,HAFSA NA WENGINEO.
HAKUNA SEHEM MYUME ALIFANYA CHILD ABUSE.
MTOTO AKISHAINGIA BALEHE SIO CHILD TENA NI ADOLESCENT
UPO HAPO KIJANA??????
UNABWABWAJA SANA
 
Haipingi ushoka.
20230601_215742.jpg
 
Nonsense.
 
Back
Top Bottom