Angela Simmons anavaa shanga za Kimasai kiunoni

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,715
Angela Simmons ni binti wa Rev Run, Rapper mkongwe wa kundi la Run DMC.

Angela Simmons ndo celebrity wa marekani anayevaa shanga nyingi za kimasai kiunoni kama wanawake wa kiafrika.

Binafsi huwa sielewi zina faida gani ila nimependa kuziona kiunoni kwa binti huyu wa Kimarekani.

View attachment 2322500
Screenshot_2022-08-13-02-43-42-94_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
View attachment 2322501View attachment 2322502
 
Uzuri wa shanga ujue jinsi ya kuzitumia lol.Ila mbona huyu kavalia tumboni tena jameni..au kiuno siku hizi kimekua juu ya tumbo
 
Zinavaliwa sana, mbele mbele huko
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-211321.jpg
    Screenshot_20220814-211321.jpg
    61.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220814-211119_1.jpg
    Screenshot_20220814-211119_1.jpg
    50 KB · Views: 13

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom