Unajua kuzitumia?Uzuri wa shanga ujue jinsi ya kuzitumia lol.Ila mbona huyu kavalia tumboni tena jameni..au kiuno siku hizi kimekua juu ya tumbo
Sasa mbona una makasiriko au umekosa hela ya mihogo asubuhi hii?View attachment 2324190View attachment 2324193View attachment 2324191View attachment 2324192View attachment 2324194Huyu jamaa bure kabisa, hajui kiuno kilipo?