Angel? Devil? . . . .

Umejibu kama mwalimu, thanks!


Nadhani umenielewa fika nilichouliza, kumbe mtu anaweza tumika kupitisha baraka na uovu bila hata yeye kujua hilo? Mie nilikuwa nashangaa sana inakuwaje hivi?


Ningejua ningekutumia PM tu, nilichojifunza hapa, kumbe ni bora kumuombea mtu anayepitisha baraka kwako asije akatumiwa kupitisha uovu pia

 

Mhh...Kumbe.....
 
naogopa ku fall in love,mmu ni full watu kulalamika kuumizwa,nitaishia kuwaonea huruma kisha roho yangu iwadondokee,naogopa bana,roho yangu nyepesi.

wala hutafall wala nini!
humu ni ushauri kwa kwenda mbele
ukifall konii atakuinua mnaendela na safwaaari!
 
Wa kutuombea ukaombewe? Si ulifungua kanisa lenye watu wa mapepo ya srii sam?

ahahahhahahhahahah masikini mimi ,yani kweli nimeshafanana akili na zako mweeee!e bana King'asti enh niunganishe na yule mchungaji wako bana!
 
I do believe kila anaekuja kwenye maisha yako ana sababu,either mbaya au nzuri.
'
Aina ya watu tunaokutana nao tunawavuta sisi wenyewe,haiwezekani mtu akawa na pande mbili.
'
Nuru na giza havichangamani,kama atakusaidia kukupandisha kisha akakudondosha faham kuwa kuna upande alikua anajifanyisha,hakuwa real.
'
. . . . . . . . Eiyer . . . .
 
Wa kutuombea ukaombewe? Si ulifungua kanisa lenye watu wa mapepo ya srii sam?
kuna mtu aliteteresha imani yangu!
kwenda kwa co rev mother Kaunga nae anahisi kuwiwa
wagonjwa wenyewe type yako na The Boss imebid tu nianze upyaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Kwani ili mtu kufanikiwa inatakawa afanye na awe na nini?
 
Mtu anaweza kuwa na nia njema sana katika kuhakikisha kuwa unafanikiwa katika kila jambo unalolifanya. Ila at end unajikuta kuwa yeye ndo wa kwanza kukulet down. Kuna ambao wanafanya kwa kujua na anadhamiria kabisa kukuangamiza pia wapo wengine hawajui kama wanakuangamiza.{anajitahd kukufanyia yote mazuri akdhan kuwa anaku put up kumbe inakuwa sio in other way}. Sasa cha muhimu kufanya ni wewe kuwa sharp katika kutambua mambo kadha wa kadha unayofanyiwa na huyo mtu..
 
Hilo nalo neno
 
In addition to this, our thinking, way of understanding people around us and our feelings change on a daily basis as we encounter them and get to know about their personalities in a better way...
 
Kweli kabisa, kama unaamini Mungu the best thing you can do ni kuomba wale walio karibu yako wamuogope Mungu na wawe malaika kwako. But at the same time, ni sawa kujiombea pia ili tuwe malaika wa watu around us. Let's all be the instrument of his Glory. Ameen
 

Roulette ulishawahi kupitisha umeme kwenye kamba ya katani?
 
Last edited by a moderator:
Roulette ulishawahi kupitisha umeme kwenye kamba ya katani?
Nobody is 100% bad and nobody is 100% good.

So huyo alie wa katani leo anaweza kua plastic kesho na shaba kesho kutwa. If you can sin by yourself you can also promote sinful activities around you. If you can be faithful to God, you can also promote that around you. Ndio nilicho taka kusema hapo juu.
 
Roulette mbona maneno mengi?
'
Jibu ni ndiyo au hapana,tafadhali nijibu bana!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…