Ange Kagame aolewa

Ange Kagame aolewa

Hiyo dunia nyingine kabisa hiyo. Hizi hela za kusaka sana,saaaaana. Bata kama hizo ndio zenyewe,hasa ukiwa na mtoto mkali kama huyo mkuu. Ili mradi tu uwe na uhakika hata ule bata vipi kibubu chako kitaendelea kutema milele

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu.
Hasa hawa wanasiasa wana pesa sana. Zile acc zao za ulaya ukute ndio za taadhari .afu hizi za NMB CRDB ni za kula bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ana mbinu sana yule mzee then akimalza kufanya yake anaenda church

Mkuu still huduma za bongo sio.huko ma mbele tunaskia wanabadili mpaka moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wazee huko O'bay/Masaki wana mipunga yao kila operation ma dr. wanatoka ma mbele wanakuja kufanyia huku Bongo.

Hata yule bilionea Mrema wa Arusha naye aliambiwa na ma dr. Kutoka Germany wanaweza kuja na vifaa vyao then wakaja kumfanyia operation kwny hosp. watakayoichagua wao pale Arusha.
 
Kuna wazee huko O'bay/Masaki wana mipunga yao kila operation ma dr. wanatoka ma mbele wanakuja kufanyia huku Bongo.

Hata yule bilionea Mrema wa Arusha naye aliambiwa na ma dr. Kutoka Germany wanaweza kuja na vifaa vyao then wakaja kumfanyia operation kwny hosp. watakayoichagua wao pale Arusha.
Aisee mkuu
Nimeamini maneno ya teacher wangu fulani alisema hapa duniani kuna watu wana live wengine wana survive


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada huo mzigo si wa kitoto dada'angu!

That made me re-evaluate my entire existence,how stupid my life is!

That pussy is gold eti!

And that nigga is banging errrday for free!

This life ain't fair!
. Ange angekuwepo JF angekutafuta japo uweke mkono tu kwenye . I'm sure hata mume wake hajawahi mpa sifa kama hizi unazompa wewe.
Ila mzuri na baba ake Ana power na ndo vile kaolewa na mtoto wa Kigogo huko kwao.
Zichange change na wewe uponee japo kwa Jessica

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah noma sana mkuu,na ndio ukweli huo.
Kuna jamaa aliwahi kunisimulia kua .rafiki ake mmoja alienda UAE huko.sasa kwenye nyumba aliyofikia ya mwenyeji wake
Asubuhi watoto wanaenda shule.kila mtu na gari lake.mmoja akakwaruza kidogo gari kwenye gate, alirudi ndani akachukua gari nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu aliyemuoa bint wa kagame...sijui akijipekecha vp mpaka kumpata mtoto wa kagame ambaye baba yake ni mtata!
Najua watu wengi hadi humu jf miudenda ilikuwa inatutoka tukimtamani bint huyo
Sasa mchz kajiopolea!

Ova
View attachment 981765

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninatamani kufahamu alipo Brian mdogo wake maana alikuwa darasa moja na binti yangu kwenye midugudu ya Murutarama.
 
Back
Top Bottom