Ange Kagame aolewa

Ange Kagame aolewa

Hahah bro mimi mzee baba mimi simkubali kiviile lkn kwny hili ntamtetea hajawahi kuwapa bata watoto wake za style hio.

Hivi bustani ya marehemu dada yake kule kwao uliiona mkuu?
Niliiona ile bustani
Afu mkuu kumbe hujaelewa nilichoandika. Sio kwamba jiwe ndie alimtuma a record ile video au alipendezwa nayo
Zile zilikuq kqma laki 3 hivi. Sasa mkuu hiyo ni pesa nyingi kwa mtoto wa rais ? Hela ya kawaida hata mtoto wa mtanzania wa kawaida anapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa na hilo haliepukiki.
Nilisikia jk alimnulia mtoto wake lamboghini sijui ferrali

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona siku Magu ameshinda kwny uchaguzi yule mtoto wa mkwere bonge akiwa kwny hio gari sijui ni lamborghini kama wanafanya drifting hivi akipiga makelele akisema Congratulation mr. Prezident Magu sijui Chadema nini.

Jiwe akamchek akasema hiiiiiiiiiiiiiiii,yaya gete we dogo hunijui ngoja niingie.
 
Niliiona ile bustani
Afu mkuu kumbe hujaelewa nilichoandika. Sio kwamba jiwe ndie alimtuma a record ile video au alipendezwa nayo
Zile zilikuq kqma laki 3 hivi. Sasa mkuu hiyo ni pesa nyingi kwa mtoto wa rais ? Hela ya kawaida hata mtoto wa mtanzania wa kawaida anapata

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliiona inafanana na dada wa rais mkuu?Hio inakuonyesha nini boss?

Laki 3?aaaeh mi nikajua anamwaga madolali kama wakina mayweather aisee, ila bado hio tabia ya kuonyesha mpunga hadharani sijui ameitoa wapi sio kwa malezi yale ya kikamanda.
 
Niliona siku Magu ameshinda kwny uchaguzi yule mtoto wa mkwere bonge akiwa kwny hio gari sijui ni lamborghini kama wanafanya drifting hivi akipiga makelele akisema Congratulation mr. Prezident Magu sijui Chadema nini.

Jiwe akamchek akasema hiiiiiiiiiiiiiiii,yaya gete we dogo hunijui ngoja niingie.
Ha ha ha ha wale madogo wanavaa suti kali mno, ambazo hata mtz mwenye mshahara wa mil 2 havai.
Ila kwenye life la mkwere nimejifunza kitu.na mm ntazitafuta sana madogo waje wale bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliiona inafanana na dada wa rais mkuu?Hio inakuonyesha nini boss?

Laki 3?aaaeh mi nikajua anamwaga madolali kama wakina mayweather aisee, ila bado hio tabia ya kuonyesha mpunga hadharani sijui ameitoa wapi sio kwa malezi yale ya kikamanda.
Mkuu ile bustani yani jiwe kamzidi nyerere ugumu
Zilikua ni hela za kawaida tu mkuu. Naskia hata mm kuwa watoto wake aliishi nao kigumu hivo ila pesa zake ali spend kwa miche poukwo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha wale madogo wanavaa suti kali mno, ambazo hata mtz mwenye mshahara wa mil 2 havai.
Ila kwenye life la mkwere nimejifunza kitu.na mm ntazitafuta sana madogo waje wale bata

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli kwny kutumia mkwere hajawahi kua na noma na watoto wake.

Niliona interview ya watoto wa Balozi Mahiga aisee wale watoto hawajui kiswahili kabisaa wakianza kukutajia Suti za dingi yao na ma designer anazopendelea kuvaa mdingi + nguo za hao watoto ndipo utajua kwanini sisi wengine tunaitwa watoto wa wanyonge aisee.
 
Back
Top Bottom