Ange Kagame aolewa

Ange Kagame aolewa

Kwa kweli kwny kutumia mkwere hajawahi kua na noma na watoto wake.

Niliona interview ya watoto wa Balozi Mahiga aisee wale watoto hawajui kiswahili kabisaa wakianza kukutajia Suti za dingi yao na ma designer anazopendelea kuvaa mdingi + nguo za hao watoto ndipo utajua kwanini sisi wengine tunaitwa watoto wa wanyonge aisee.
Hebu iweke hapa tuione
 
Kazi kusifiasifia wanawake!

Hahahahaaaa

Bro,wha'chu saying is just beyond me....

Anasifiwa mwanamke,unaona wivu mwanaume?

Ulitaka usifiwe wewe?

Wanawake ni lazima wasifiwe,sasa,that crazy space shit you chewin' out don't even make no sense!

You frontin' bro get deceased.
 
Hicho kitanda chao kitakua kirefu balaa na sipat picha demu akiwekwa stail ya miguu juu itakua inagusa paa.
 
Back
Top Bottom