Ange Kagame aolewa

Ange Kagame aolewa

Mtoto wa nani huyo?Kwa jiwe watasubiri sana hizo toys wakitahidi watapush Toyota hilux.

Mzee baba anakwambia hapa ikulu tangu nimeingia kuna harusi 3 zimefungwa za watoto wangu nani anajua hapa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda alikua amepewa na jiwe sasa akafurahi akaona azioneshe tu.
Ila taarifa zilizosambaa ni hizo kuwa jamaa alipigwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah bro mimi mzee baba mimi simkubali kiviile lkn kwny hili ntamtetea hajawahi kuwapa bata watoto wake za style hio.

Hivi bustani ya marehemu dada yake kule kwao uliiona mkuu?
 
Back
Top Bottom