mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Na ufupi ukizidi inakuaje mkuu?hahah
Na ufupi ukizidi inakuaje mkuu?hahah
Kuna binti wa Magu ameolewa na msela fulani hivi ni engineer pale Kinondoni,very humble huwezi kujua hata kama wana mahusiano na Magu.. Ange angekuwepo JF angekutafuta japo uweke mkono tu kwenye
. I'm sure hata mume wake hajawahi mpa sifa kama hizi unazompa wewe.
Ila mzuri na baba ake Ana power na ndo vile kaolewa na mtoto wa Kigogo huko kwao.
Zichange change na wewe uponee japo kwa Jessica
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizid pia shidaNa ufupi ukizidi inakuaje mkuu?hahah
Kama mobutu mkuu,bata tu mwanzo mwisho hahah.Mimi sijui kwanini nakua inspired sana na wazee ambao hawana nongwa kwa watoto wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah aise,wakija hapa utawakimbia kwa ugomvi wao.
Kauli ya kinyonge hii mkuuWatuvumile tu mkuu,aliyewapa wao ndiye ametunyima sisi.
Swala siyo watoto wa Kagame ila ukiingia Kigali utadhani wale watoto walichongwa!!
DuhSwala siyo watoto wa Kagame ila ukiingia Kigali utadhani wale watoto walichongwa!!
Kagame nilimuheshimu kwa kujifanya simple. Alikuwa anaendesha gari analeta watoto shule na ikifika saa ya kurudi anakuja kuwachukua ingawa ofcourse alikuwa na walinzi kama wawili but no escort. Sisi ambao tuliishi huko enzi hizo ndo amekuwa mkuu tunajua jinsi simple alikuwa. Nyarutarama oyeeee.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa lazima ndy mtu wa kwanza kufungua sealed maana mtoto hajaguswa ni 0 km
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah sasa tutafanyaje mkuu,umri huu hata kurefuka sirefuki tena nimeshaukubali uandunje wangu.
Mzazi hutakiwi kuwa mnoko bwana. Sasa hela anatafuta za nini kama haachi watoto waenjoy?Mimi sijui kwanini nakua inspired sana na wazee ambao hawana nongwa kwa watoto wao
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa lazima ndy mtu wa kwanza kufungua sealed maana mtoto hajaguswa ni 0 km
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah sasa tutafanyaje mkuu,umri huu hata kurefuka sirefuki tena nimeshaukubali uandunje wangu.







Si ndio hapo. Hasa ukiwa na watoto wa kiume uwanyime pesa na magari si watakosa mademu .ujana una raha yakeMzazi hutakiwi kuwa mnoko bwana. Sasa hela anatafuta za nini kama haachi watoto waenjoy?
Sent using Jamii Forums mobile app
I miss those midugudu na Sungura wa Mama Kagame, I mean bibi wa kibinti hicho.
Kabisa mkuu. Yule mzee ukioa binti yake.ilikua kila ukienda kumtembelea anakupa bahasha ya kaki imejaa dola.na wakati wa harusi alikupa majumba kama 2 ulaya na pesa bank na gari mpya kama range rover. Kuna jamaa alizifaidi sana.alipata zali akapendwa na binti wa mobutu afu jamaa hana kaziKama mobutu mkuu,bata tu mwanzo mwisho hahah.
Hahah hio ndio inaitwa kuishi paradise ukiwa duniani.Kabisa mkuu. Yule mzee ukioa binti yake.ilikua kila ukienda kumtembelea anakupa bahasha ya kaki imejaa dola.na wakati wa harusi alikupa majumba kama 2 ulaya na pesa bank na gari mpya kama range rover. Kuna jamaa alizifaidi sana.alipata zali akapendwa na binti wa mobutu afu jamaa hana kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni urban planner MIT graduateYes kwa asilimia kubwa, na probably atakuwa amepewa kitengo nyeti either kwenye gvt financial institution or something to do with security/military
Sent using Jamii Forums mobile app