Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

Kwa maana hyo tuende MSIKITINI? Hata kama ni wakristo mkuu.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ukweli usio na shaka
 
Naunga mkono hoja ila sio wote kuna baadhi wapo hivyo. Kanisa unaweza kuokota embe dodo au yai viza
 
Ila wanaopatikana misikitini wote ni wema..
 
Makanisa ya kilokolee ndo usime, one day nimeenda kwenye moja wapo ya hilo kanisa.
Aiseee acha kabisa kumbe wanawake na waume wanaosali pale 70% wana matatizo makubwa mengine ayafai kusimulia.
Nini maana ya kanisa? Labda unifafanulie kulingana na hayo Maelezo yako
 
KAMA MIMI YALIYONIPATASINA HAMU NA HAWA VIUMBE WA KANISANI CHA AJABU BADO YUKO BIZE KANISANI LAKINI TABIA MBAAAAAAAAAAAAAYAAAAAAA......SIJUI HAJIJUI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…