Naendelea kujifunza, ila kwa sasa mahusiano ya kidiplomasia nimeyavunja kabisa kati yangu na vi-pub uchwara hivi.Mimi kunaduka nilikuwa nanunua gas..sasa chenj ilibaki kama 3000..wakati waduka ananiletea nimdada..nahuyo wa ki pub nae anatoka anasema hiyo chenj nipe mimi nilimwangalia basi karudia nakurudia mikausho kama yoote..simfahamu hanifahamu..
Wenge la bia ilo unakunywa bia wewe alafu unaona kama mpo wawiliNaandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.
Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub hivi ni either ma barmaid wastaafu au mastistaduu waliokubuhuu kwenye shughuli za uchunaji, leo basi si nimejifanya kuwatoloka wana ukoo, nikasema ngoja nijichimbie hapo kijiwe nongwa jicho moja, mguu na meza upande duka la nguo upande salon ya kike, aisee kumbe mchezo wao sio wa kitoto yaani ukiagiza yako moja na yeye anachukua yake moja, ukinywa ya pili na yeye anakunywa nyingine Sasa nimeshtuka hapa nimeacha kumchekea chekea nataka anieleze hii bili ni yangu au yake maana sikumpa go ahead ya kujihudumia mwenyewe.
Kama mtaona kimya sana kesho mjue nitakuwa nimeungana na ndugu Sabaya, maana nataka nifanye ambush ya viwango vya Mwamposa hapa Pabun.
Kunywa maji mengi sana, akili ikae sasa,wewe huyo huyo utapigwa mzinga ada ya mtoto wa mme mwenzio. A the bestNaendelea kujifunza, ila kwa sasa mahusiano ya kidiplomasia nimeyavunja kabisa kati yangu na vi-pub uchwara hivi.
Shida yako unataka uonekane yahunde mbele ya wanawake.....na wanakuona wa maana kwa sababu una hali flani na afya njema...endeleza yahunde wako fala weweπππ...sitoi msaada wa bure kwa mwanamke mimi..siwezi kuwa yahundeeπππππMimi ni fala mode ya pro max au kawaida kawaida?
Utaacha simuNaandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.
Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub hivi ni either ma barmaid wastaafu au mastistaduu waliokubuhuu kwenye shughuli za uchunaji, leo basi si nimejifanya kuwatoloka wana ukoo, nikasema ngoja nijichimbie hapo kijiwe nongwa jicho moja, mguu na meza upande duka la nguo upande salon ya kike, aisee kumbe mchezo wao sio wa kitoto yaani ukiagiza yako moja na yeye anachukua yake moja, ukinywa ya pili na yeye anakunywa nyingine Sasa nimeshtuka hapa nimeacha kumchekea chekea nataka anieleze hii bili ni yangu au yake maana sikumpa go ahead ya kujihudumia mwenyewe.
Kama mtaona kimya sana kesho mjue nitakuwa nimeungana na ndugu Sabaya, maana nataka nifanye ambush ya viwango vya Mwamposa hapa Pabun.
Umekosea ungekuwa unaagiza huku na huku na ungekaa kwenye masofa au siku hizi kale kaVIP hakapo?Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.
Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub hivi ni either ma barmaid wastaafu au mastistaduu waliokubuhuu kwenye shughuli za uchunaji, leo basi si nimejifanya kuwatoloka wana ukoo, nikasema ngoja nijichimbie hapo kijiwe nongwa jicho moja, mguu na meza upande duka la nguo upande salon ya kike, aisee kumbe mchezo wao sio wa kitoto yaani ukiagiza yako moja na yeye anachukua yake moja, ukinywa ya pili na yeye anakunywa nyingine Sasa nimeshtuka hapa nimeacha kumchekea chekea nataka anieleze hii bili ni yangu au yake maana sikumpa go ahead ya kujihudumia mwenyewe.
Kama mtaona kimya sana kesho mjue nitakuwa nimeungana na ndugu Sabaya, maana nataka nifanye ambush ya viwango vya Mwamposa hapa Pabun.
Hapo sawaHaitakuja tokea... Maana nina dhamana ya mwili mkubwa, huo tu ndio uchawi wangu nikilewa naogopeka sio kidogo.
Lakini kwa hasara za jana usiku lazima atalipia mbwa yule, yaani Mimi katibu mzima wa kutokwenda jumuiya leo kwasababu ya mawazo ya kuchunwa bila idhini yanga kweli?Kunywa maji mengi sana, akili ikae sasa,wewe huyo huyo utapigwa mzinga ada ya mtoto wa mme mwenzio. A the best