Angalizo: Rais Samia kuwa makini na unayoyaacha leo, CHADEMA watayatumia kuibuka kisiasa

Ndugu zangu,

Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano, Kazi iendelee!

Nianze na ziara yako kikazi nchini Kenya ambapo ulitilia mkazo sera ya "kufungua nchi" wengi wanaoshangilia wanataka ukosee ili wapate mtaji kisiasa huko mbeleni; pamoja na uungwana wa Mzee Kikwete huyo Kenyatta alishawishi Uganda na Rwanda kutengeneza genge lilioitwa "coalition of the willing" dhumuni kuu walitaka JK afungue nchi ikiwamo kukubali "single tourist visa". Zaidi, miaka hiyo tulishuhudia Wakenya wengi wakiajiriwa kwenye mahoteli yaliyopo Tanzania kwa kigezo kuwa wanajua "customer service". Vijana wa kitanzania walikosa ajira kutokana na nchi "kufunguliwa" na kutoa vibali vya ajira ovyo.

Suala la pili ni wachuuzi wadogo wadogo kwa jina maarufu Wamachinga. Hili suala lina historia ndefu tangu Serikali ya awamu ya pili ya Mzee Mwinyi hadi leo hii. Kuna kipindi Halmashauri, Manispaa na Majiji yaliajiri migambo na kazi yao kubwa ilikuwa ni kudhibiti Machinga na mama lishe. Udhibiti mbovu wa watu hawa ndio uliifanya CHADEMA ikapata mtaji kisiasa maeneo ya mijini kwani waliwaahidi endapo watawachagua basi watawapa uhuru kufanya shughuli zao na wataondoa migambo.

Hapa wanasubiri ukosee ili warudi kwenye umaarufu wao. Kimsingi Wafanyabiashara hawa wadogo wadogo hufuata maeneo yenye watu wengi ili kuuza bidhaa zao na kupata riziki. Moja ya suluhisho kuwaruhusu wafanye biashara baadhi ya mitaa/barabara na magari yasipite kabisa huko na kutenga barabara za kupita magari tu hapa wataalam wa serikali watasaidia jinsi ya kiboresha zaidi. Tujifunze kutoka nchi zenye idadi kubwa ya watu kama India, Nigeria nk.

Nimalize kwa kuendelea kukusisitiza usione CHADEMA wanakushangilia, wanataka ukosee na kisha wapate mtaji wa kisiasa kuibuka kwani wamezama. Sauti ya wengi sauti ya Mungu.
OLD TAGA
 
Chizi wewe
 
Mataga yanahaha kila kona......
 
Kama wewe unge kuwa na akili unge kuwa ndie rais.
Acha Mama afanye kazi zake.
 
With all my respect to you,naona kama wewe ndio generation ambayo our President Samia awapumzishe maana uwezo wa kufikiri umefika ceilings level,hii ni nchi yetu wote sio ya ccm pekee,cdm au chama chochote kile sio wakimbizi ,Welldone my President ona sasa ana wazo la kuunda serikali shirikishi.
 
Kodi kubwa na nyingi inakusanywa kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa, wasipolindwa maana yake ni kuwa wigo wao utaenda ukiwa unapungua na ni hasara kwa TRA na kwa uchumi mkuu.

Kufungwa kwa biashara kuwe na sababu ambazo haziwezi kuzuilika kwa upande wa mfanyabiashara mwenyewe na serikali lakini kama zipo ndani ya uwezo wa kutatuliwa ni lazima zitatuliwe.

Wafanya biashara wanaopanga njiani umefika wakati wa kuwa na sehemu zao maalum. Mwanzo utakuwa mgumu lakini ni suala lenye kutekelezeka.
 
Ndugu zangu,

Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano, Kazi iendelee!

Nianze na ziara yako kikazi nchini Kenya ambapo ulitilia mkazo sera ya "kufungua nchi" wengi wanaoshangilia wanataka ukosee ili wapate mtaji kisiasa huko mbeleni; pamoja na uungwana wa Mzee Kikwete huyo Kenyatta alishawishi Uganda na Rwanda kutengeneza genge lilioitwa "coalition of the willing" dhumuni kuu walitaka JK afungue nchi ikiwamo kukubali "single tourist visa". Zaidi, miaka hiyo tulishuhudia Wakenya wengi wakiajiriwa kwenye mahoteli yaliyopo Tanzania kwa kigezo kuwa wanajua "customer service". Vijana wa kitanzania walikosa ajira kutokana na nchi "kufunguliwa" na kutoa vibali vya ajira ovyo.

Suala la pili ni wachuuzi wadogo wadogo kwa jina maarufu Wamachinga. Hili suala lina historia ndefu tangu Serikali ya awamu ya pili ya Mzee Mwinyi hadi leo hii. Kuna kipindi Halmashauri, Manispaa na Majiji yaliajiri migambo na kazi yao kubwa ilikuwa ni kudhibiti Machinga na mama lishe. Udhibiti mbovu wa watu hawa ndio uliifanya CHADEMA ikapata mtaji kisiasa maeneo ya mijini kwani waliwaahidi endapo watawachagua basi watawapa uhuru kufanya shughuli zao na wataondoa migambo.

Hapa wanasubiri ukosee ili warudi kwenye umaarufu wao. Kimsingi Wafanyabiashara hawa wadogo wadogo hufuata maeneo yenye watu wengi ili kuuza bidhaa zao na kupata riziki. Moja ya suluhisho kuwaruhusu wafanye biashara baadhi ya mitaa/barabara na magari yasipite kabisa huko na kutenga barabara za kupita magari tu hapa wataalam wa serikali watasaidia jinsi ya kiboresha zaidi. Tujifunze kutoka nchi zenye idadi kubwa ya watu kama India, Nigeria nk.

Nimalize kwa kuendelea kukusisitiza usione CHADEMA wanakushangilia, wanataka ukosee na kisha wapate mtaji wa kisiasa kuibuka kwani wamezama. Sauti ya wengi sauti ya Mungu.
Ulipotea sana dada au majukumu ya unaibu waziri yalikuzidia? Hata hivyo unapambana na nakukubali kwa kulamba miguu ili upate mkate wako wa kila siku.
 
Tribalism,Regionism on work,Hili Gang bila kulisambaratisha Mama atapata wakati mgumu sana kufikia Matamanio ya Watanzania,ni muhimu akaanza nalo coz limesambaa hadi huku JF kumtisha na kumharibia Move
mapushgang wepesi sana mkuu, hasa huyu, hana maajabu yoyote! huyu dawa yake ni Mzee Mdee, na hivi wapo timu moja, atakomeshwa tu!
 
Coalition of the willing iliundwa mwaka 2013...
Watu wenye fikra hasi, hawana msaada wowote kwa Taifa.

Coliation of the Willing iliundwa kwa sababu ya tatizo la Magufuli la kutotaka kushirikiana na nchi wanachama wa EAC.

Rais Samia, upo kwenye njia sahihi. Chukua mawazo ya watu positive. Hawa negative people, achana nao.
 
Jenga hoja bila matusi kamanda
Yaani MATAGA mko so desperate! Mara Chadema wanapinga kila kitu, Leo Chadema wanasapoti mnageuka tena, eti watatumia kama mtaji wa kisiasa, ulitaka watumie kama mtaji wa Nini? Wa bangi? Pumbavu zako. Jiwe ameshapumzika, mkubalini Samia
 
Dogo jikite kwenye hoja
Nimalize kwa kuendelea kukusisitiza usione CHADEMA wanakushangilia, wanataka ukosee na kisha wapate mtaji wa kisiasa kuibuka kwani wamezama. Sauti ya wengi sauti ya Mungu.

Mataga yanahaha kila kona......
 
Dhumuni la chama cha siasa ni kushika dola

Back
Top Bottom