Angalizo na ushauri muhimu

Angalizo na ushauri muhimu

Shikamoo Faiza Foxy 😀😀
1481786194589.jpg
Toto mashalaah naona unazidi tu kunawiri clever queen
 
Hata kama ni masikhara naona unataka kupitiliza sasa! Na kama unachosema ni sahihi naomba ufanye hivyo sasa
Natumia jina halisi na picha pia ni tofauti kabisa na mtu anayetumia ID na picha bandia
Tunaweza kufanyiana utani wa hapa na pale lakini lazima heshima iwepo
Mtupie pepo mkuu!
 
Matapeli wengi ambao nnahisi wewe ni mmojawapo huwa hawadai pesa mbele, wakijifanya wao ni wasamaria wema.

Hata hili tangazo lako nnauhakika linakuzalia PM za wajinga ndiyo waliwao wengi tu.

ha ha haaaa Mama sasa naona unautani na sisi wasamaria!!!!!
 
Yote yatasemwa lakini Jukwaa huru hili kwa Mshana Jr bado yupo juu kuchangamsha jukwaa

Pili .Anajipambanua kwa kueleza jambo kwa kuweka utashi wa kifikra bila kumkwaza mtu hasa kuweka mada ambazo wengi wetu hatuzipati kiurahisi
 
Mkuu kwamba iliyotumika kunyonga inaumuhmu gani
Imebeba roho imebeba uhai uliotoka kimsingi imebeba hukumu kama kisu au shoka la buchani
Kwenye uchawi unaohitaji hukumu hizo ni malighafi muhimu
 
Back
Top Bottom