mr.dalali
Member
- Jul 24, 2014
- 60
- 52
Jaribu kuweka uzi unaotaka watu walipigwa hela na kutapeliwa na mshana watoe shuhuda zao, hapa tutathibitisha haya usemayo.Matapeli wengi ambao nnahisi wewe ni mmojawapo huwa hawadai pesa mbele, wakijifanya wao ni wasamaria wema.
Hata hili tangazo lako nnauhakika linakuzalia PM za wajinga ndiyo waliwao wengi tu.
Utakuwa umesaidia wengi pia