Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,092
- Thread starter
- #21
Mpiga dili upo?[emoji1]
Hata kama ni masikhara naona unataka kupitiliza sasa! Na kama unachosema ni sahihi naomba ufanye hivyo sasaHuyu jamaa ni mpiga dili kule pm mkuu!!......soon nitatupia screenshot zake hapa baada ya kuifanyia pm yake hacking!
Natumia jina halisi na picha pia ni tofauti kabisa na mtu anayetumia ID na picha bandia
Tunaweza kufanyiana utani wa hapa na pale lakini lazima heshima iwepo