Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
hahaha. ....hahaha. ...dah...jamani hoja zingine zikiwazidi akili ni bora mkanyamaza tuTanzania ni nchi huru na tunafanya mambo yetu kwa umakini Mkubwa. Mpaka sasa majeshi yetu yapo DRC yakipambana kwa mafanikio na waasi wote bila kujali wanasaidiwa na nani. Tanzania ni nchi kubwa