Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,863
3,851
Kauli za "M" juu ya Urafiki na "K" zinaonesha ni jinsi gani "M" anavyomzimikia "K". Lakini awe makini sana na urafiki huo, ili kulinda na kudumisha Usalama. "M" usimruhusu "K" afike mpaka chumbani unakolala.

Ni Angalizo la msingi sana. Sitaki kuongea mengi, lakini mwenye kutafakari ataelewa.

Nawasilisha.
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili.

Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
 
Haihitaji sayansi kuelewa kwamba M can do better hata bila K....

Historia za nchi, ukubwa wa nchi, uchumi, amani, demokrasia, kuheshimiana na kuvumiliana

M tafadhali sana, chukua machache mazuri, mengine yote yaache wabaki nayo wenyewe
Na ndivyo ilivyo. Rais wetu yupo makini sana. Amejitoa sadaka kutuletea maendeleo wananchi. Nawashangaa hawa UKAWA wanavyoweweseka
 
Vipi mgongano wa maslahi kwenye kupiga wale M23 ambao inasemekana wana support ya Rwanda kuiba madini Congo? Tanzania itakuja kujitoa baada kuombwa na Rafiki yake?....natafakari tuu!!
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
 
Ni kweli kabisa. Usalama wetu unaweza kua jatari bila umakini katika huu urafiki wa ghafla.
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Ni Angalizo tu Lizaboni. Book saba yako iko pale pale. Kumbuka K ni mtaalamu sana wa manipulation. Unaona jinsi alivyoifanya katiba ya nchi yake.
 
Haihitaji sayansi kuelewa kwamba M can do better hata bila K....

Historia za nchi, ukubwa wa nchi, uchumi, amani, demokrasia, kuheshimiana na kuvumiliana

M tafadhali sana, chukua machache mazuri, mengine yote yaache wabaki nayo wenyewe
Umenena Mkuu.
 
Vipi mgongano wa maslahi kwenye kupiga wale M23 ambao inasemekana wana support ya Rwanda kuiba madini Congo? Tanzania itakuja kujitoa baada kuombwa na Rafiki yake?....natafakari tuu!!
Tanzania ni nchi huru na tunafanya mambo yetu kwa umakini Mkubwa. Mpaka sasa majeshi yetu yapo DRC yakipambana kwa mafanikio na waasi wote bila kujali wanasaidiwa na nani. Tanzania ni nchi kubwa
 
Ni Angalizo tu Lizaboni. Book saba yako iko pale pale. Kumbuka K ni mtaalamu sana wa manipulation. Unaona jinsi alivyoifanya katiba ya nchi yake.
Angalizo lako ni la msingi. Ila unapaswa kuelewa kuwa Rais wa nchi ni taasisi na si mtu mmoja. Wanapojadiliana hawafanyi kwa siri. Kunakuwa na wataalam wa masuala mbalimbali
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
nani kamtaja rais wewe??, acha kujistukia kama unaoga nje
 
Back
Top Bottom