Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
We huku unafanya nini...wenzio sahivi wapo kupiga push up...nenda kaungane nao
 
Na ndivyo ilivyo. Rais wetu yupo makini sana. Amejitoa sadaka kutuletea maendeleo wananchi. Nawashangaa hawa UKAWA wanavyoweweseka
Sio kila jambo lazima uingize itikadi za kisiasa,

Hebu jaribu kufikiri kuhusu ushiriki wetu kwenye majeshi ya munusco congo, tunawasaka M23 ambao ni washirika wa Kagame wanaosaidiwa na Rwanda.

Imagine siku Kagame akituomba tuyaondoe majeshi yetu kwenye muungano huo tutamwambiaje rafiki yetu mpendwa.
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Raiwa ndo kitu gani uandishi uchwara huu
 
Vipi mgongano wa maslahi kwenye kupiga wale M23 ambao inasemekana wana support ya Rwanda kuiba madini Congo? Tanzania itakuja kujitoa baada kuombwa na Rafiki yake?....natafakari tuu!!

Kwani Tanzania inafaidika nin kwa kupeleka majeshi kupambana na M23?huu ni wakati wa kuangalia uchumi zaidi kuliko matatizo ya wengine
 
Kwani huyu K si ndo mlisema tuige kutoka kwake ili nchi isonge mbele? Nini kinawauma sasa?
Nakumbuka enzi za JK alipokwaruzana na Kagame ulivyokuwa unatokwa mapovu leo Kagame amekuwa malaika kwako.

Angalia upenzi wako wa siasa usije kufifisha uwezo wako wa kuchambua mambo.
 
Hizi "M" na "K" kule MMU ni lugha chafu kabisa.
 
K ni mjanja sana mkuu wa kaya awe makini otherwise tutaongelea kitu kingine hapa muda si mrefu coz hawa wa "K" wapo hata ndan ya serikal yetu rejea maandiko ya mtikila,wengine tulisoma nao sana A level na kujifanya kukataa origin zao, "M" awe makini sana.

Am out
 
Sijaelewa mantiki ya huu uzi. Unless kama utaongezea nyama zaidi mkuu. Unataka kusema raisi (who is an institution) halijui hilo??
 
Ama kweli mtu akipenda, chongo huita kengeza. Inamaana leo watu wamejisahaulisha yale ambayo "K" anayafanya kule kwake na kuona ni sahihi kwa "M" kufanya kama hayo?
Ooh God, please wake us up.
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Kichwa maji
Ashirikiane na nani
Si anajua kila kitu na atapotea mwaka huu
Vp VAT ya miamala mmefika wap maana gavana anasema haiepukiki kwa mteja
Mpigeni chini kama vp
 
Kwani Tanzania inafaidika nin kwa kupeleka majeshi kupambana na M23?huu ni wakati wa kuangalia uchumi zaidi kuliko matatizo ya wengine
Manufaa mengi! Mazoezi ya jeshi letu maana hatuna vita! Kulinda amani kwa UN mnapata technologia mpy ya silaha...na vifaa vyote wanavyotumia vinarudi ku vyetu uzoefu uzoefu majesh yetu!

Kunafanya jeshi liwe active....pia kupanda vyeo vikubwa lazima jeshi liw active
 
Ni kweli kabisa. Usalama wetu unaweza kua jatari bila umakini katika huu urafiki wa ghafla.
tena nimesikia M anasema K atatupa maexpart kwenye technologia...hii ni hatari sana
 
Ni Angalizo tu Lizaboni. Book saba yako iko pale pale. Kumbuka K ni mtaalamu sana wa manipulation. Unaona jinsi alivyoifanya katiba ya nchi yake.
Hivi yule Luteni Kanali wa Jeshi aliyetorokea R na nyaraka za siri alisharejeshwa?
 
tena nimesikia M anasema K atatupa maexpart kwenye technologia...hii ni hatari sana
Nimesikia pia tunataka kumkabidhi ATCL alete wataalam wake kuliongoza shirika, this is very serious for our security.
 
Nimesikia pia tunataka kumkabidhi ATCL alete wataalam wake kuliongoza shirika, this is very serious for our security.
najiuliza sana kweli K ni wakuaminika kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom