Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

Kwa upande wa usalama, Tanzania ni next level. Hakuna wa kutulinganisha katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki
Siyo kweli mbona watu waliingia hapa wakalipua balozi tupo hapa hapa?

Mbona wanyama kwa mamia wamepakiwa kwenye dege na kupelekwa nje kama vile hatuna vyombo vya usalama? Mbona watu wameramba escrow na epa kiulaini? Mbona mtu kaingia mpaka ikulu kashuhudia yote halafu ghafla anatolewa kuwa siyo yeye?

Mbona nyara mbali mbali zinasafirishwa kimagendo kwenda nje? ... you name it! Hakuna nchi ianyoweza kujisifu kuwa iko salama asilimia 100 hata Marekani haipo salama kivile.
 
Tanzania ni nchi huru na tunafanya mambo yetu kwa umakini Mkubwa. Mpaka sasa majeshi yetu yapo DRC yakipambana kwa mafanikio na waasi wote bila kujali wanasaidiwa na nani. Tanzania ni nchi kubwa
ikiwa nchi kubwa maane nini ushabiki ushabiki tu kwa kila kitu kwani hujui wewe kuwa yule mzee anajenga nchi yake kwa mtutu wa bunduki ? au umekula umeshiba.
 
Mnyarwanda yule ni very smart, hana akili za kukurupuka na anajua anachokifanya.

Kujifanya rafiki mwema ni kichaka tu cha kumficha mkurupukaji wetu.
Tusubiri.
Tatizo la M anafanya mambo kwa mwendokasi sana. Utulivu wa mawazo, hekima na busara, kwake ni misamiati.
 
Na ndivyo ilivyo. Rais wetu yupo makini sana. Amejitoa sadaka kutuletea maendeleo wananchi. Nawashangaa hawa UKAWA wanavyoweweseka
Wapi rais na ukawq wametajwa wewe kanjanja wa uvccm? Ni upumbavu kudhani kila anayekosoa ni upinzani.

Masuala ya kitaifa haya uccm, uchadema walq ucuf lakini ninyi mnataka kila mtu awe na mtazamo kama wenu, unatia aibu.
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
hivi kwa nini wangoni wengi ni wafupi?na akili zao hivyo hivyo>/???.raiwa=RAIA
 
Siyo kweli mbona watu waliingia hapa wakalipua balozi tupo hapa hapa? Mbona wanyama kwa mamia wamepakiwa kwenye dege na kupelekwa nje kama vile hatuna vyombo vya usalama? Mbona watu wameramba escrow na epa kiulaini? Mbona mtu kaingia mpaka ikulu kashuhudia yote halafu ghafla anatolewa kuwa siyo yeye? Mbona nyara mbali mbali zinasafirishwa kimagendo kwenda nje? ... you name it! Hakuna nchi ianyoweza kujisifu kuwa iko salama asilimia 100 hata Marekani haipo salama kivile.

Mimi hakuna kilicho nishtua kuambiwa jahazi lililo sheheni wazamiaji kutoka Ethiopia lilikamatwa limetua nanga Kigamboni si mbali na makao makuu Magogoni - nilichoka!!!
 
Unaweza kuona kwa anayeona,kufikiri kwa anayefikiri,bila kujinasbisha na mirengo ya makundi ya vyama vya siasa katika kujadili masuala ya kitaifa vizuri tu.

Ni bora ulumumba na ukawa vikawekwa mbali mijadala kama hii inapojadiliwa.
 
Nilishtuka pale M alipoeleza waziwazi kwamba K ndio amempatia maujanja ya ununuzi wa ndege. Kwa mbali mtu anaweza kuona ni kama K anatuendesha kwa remote.
 
M anaonekana sio mahiri wa kuunganisha dots. Holistic awareness yake (Uwezo wa kuunganisha na kuyaona mambo katika ujumla wake) iko chini sana. Anayatazama mambo katika muonekano mmoja (Stereotype)!

Amesahau ni juzijuzi tu K alikuwa na mgogoro na J!

Ashirikiane nae, lakini kwa tahadhari kubwa.
Nilishtuka pale M alipoeleza waziwazi kwamba K ndio amempatia maujanja ya ununuzi wa ndege. Kwa mbali mtu anaweza kuona ni kama K anatuendesha kwa remote.
 
Back
Top Bottom