Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

Nimeipenda hii encryption ya kutumia herufi ya kwanza ya majina yao, "K" na "M"!!!
Big up sana mtoa mada kwa kubypass adhabu ya 7mil
 
Nimeshangaa sana kusikia eti Tz itaoomba utaalam wa kuendesha mashiruka ya Ndege kutoka Rwanda, eti pia na wataalam wa kodi wataazimwa kutoka Rwanda waje kufundisha hawa wa kwetu! Sincerely!!!
 
najiuliza sana kweli K ni wakuaminika kiasi hicho?
Kagame haaminiki inabidi kumwangalia kwa jicho la tatu, nasikia ni CIA aliyewekwa pale kwa majukumu ya ku-destabilize nchi za maziwa makuu kafanikiwa congo anataka kuhamia kwetu.
 
Wapi uzushi tu, M kaanza kuchemka bado mapema kabisaaa
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
pumba zako haziishi m maana yake ni rais? Mwaka huu unalo vip ukuu wa wilaya umeachwa?
 
Na ndivyo ilivyo. Rais wetu yupo makini sana. Amejitoa sadaka kutuletea maendeleo wananchi. Nawashangaa hawa UKAWA wanavyoweweseka
mkuu hivi nikikuita mwana jamii forum uchwara ntakuwa nakosea? kila anaye kuja na mawazo tofauti ni UKAWA.

Bune liloisha Bashe ametofautiana mara kadhaa na wenzake kiitikadi, naye akageuka kuwa ukawa!!!!. Hii ni syndrome inayo fisha, yaangalie mambo kwa upana.
 
Kauli za "M" juu ya Urafiki na "K" zinaonesha ni jinsi gani "M" anavyomzimikia "K". Lakini awe makini sana na urafiki huo, ili kulinda na kudumisha Usalama. "M" usimruhusu "K" afike mpaka chumbani unakolala.

Ni Angalizo la msingi sana. Sitaki kuongea mengi, lakini mwenye kutafakari ataelewa.

Nawasilisha.

🙄🙁🙁🙁🙂🙂🙂😵
 
Kwani huyu K si ndo mlisema tuige kutoka kwake ili nchi isonge mbele? Nini kinawauma sasa?

Mwishowe utataka tuige na kubadili katba ili M atawale milele kama K.

Wengine hatujasema tuige utendaji wa K ila tunashangaa kuzidwa maendeleo na wao ili hali sis tuna vyanzo kibao vya mapatao.

Sijui viongoz wetu wamelogwa au IQ za watz zipo chin? Maana sisi mambo yafanywe hovyo tunasifia alimrad yanafanywa na chama chetu . Wengne tunaponda hata zuri likifanywa na upande B. Tuna nn sisi?
 
Ndio maana siku zote nawaambia ninyi wapinzani hamna akili. Ona sasa jinsi mlivyo kigeugeu
Mpinzani ni nani sasa?

Na je wewe unaamini una akili kweli?

Kila kitu kwako ni sawa ... huna uwezo wa kuchambua baya na zuri, asokuwa na akili nani? Jibu unalo ... hata mwanangu anaweza kukujibu ...
 
Huyu k ni hatari sana huyu ana agenda za miaka mia ijayo.kwanza nchi yetu kubwa kwanini kuwanyenyekea hao
 
Kauli za "M" juu ya Urafiki na "K" zinaonesha ni jinsi gani "M" anavyomzimikia "K". Lakini awe makini sana na urafiki huo, ili kulinda na kudumisha Usalama. "M" usimruhusu "K" afike mpaka chumbani unakolala.

Ni Angalizo la msingi sana. Sitaki kuongea mengi, lakini mwenye kutafakari ataelewa.

Nawasilisha.[/QUO

Duuh wewe unaonekana unajua lukuki ngoja nitoke mbio nimeishiwa more comments 🙂🙂
 
Na ndivyo ilivyo. Rais wetu yupo makini sana. Amejitoa sadaka kutuletea maendeleo wananchi. Nawashangaa hawa UKAWA wanavyoweweseka
Lizaboni badili basi hiyo avatar yako maana ina k na k wakisuguana! Weka na M na K wakitabasamu zama zimebadilika!
 
Magufuli ni zaidi ya huyo Mnyarwanda. Baada ya miaka mitano mtakuja kuelewa na kumjua ni mtu wa aina gani. Lazima UKAWA muufyate
K na UKAWA wametoka wapi tena.
Bora unyamaze tu kuliko kijidhalilisha hivi
 
Kauli za "M" juu ya Urafiki na "K" zinaonesha ni jinsi gani "M" anavyomzimikia "K". Lakini awe makini sana na urafiki huo, ili kulinda na kudumisha Usalama. "M" usimruhusu "K" afike mpaka chumbani unakolala.

Ni Angalizo la msingi sana. Sitaki kuongea mengi, lakini mwenye kutafakari ataelewa.

Nawasilisha.
Unazungumzia madikteta uchwara au nini mimi sijakuelewa!
 
Kwani hizo initials zinasimama badala ya nini? Kuwa na akii japo kwa muda mfupi
Ukisema initials hizo inaweza kuwa Mkapa na Kikwete au Mbowe na Kinana au Maji marefu na Kibajaji. Hapo huwezi kumkamata ntu.

Ukianza kutaja wewe ndipo hapo wanakwambia unajishuku. Huyu amerusha jiwe kwenye umati atakayeguna ndiyo limempata.
 
Lizabon si lazima uchangie kila kitu nenda kalime
Ukisema initials hizo inaweza kuwa Mkapa na Kikwete au Mbowe na Kinana au Maji marefu na Kibajaji. Hapo huwezi kumkamata ntu. Ukianza kutaja wewe ndipo hapo wanakwambia unajishuku. Huyu amerusha jiwe kwenye umati atakayeguna ndiyo limempata.
Tena kesi inaweza kumgeukia yeye huyu kiherehere.
 
Back
Top Bottom