Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

Angalizo: "M" kuwa makini na "K"

Tanzania ni nchi huru na tunafanya mambo yetu kwa umakini Mkubwa. Mpaka sasa majeshi yetu yapo DRC yakipambana kwa mafanikio na waasi wote bila kujali wanasaidiwa na nani. Tanzania ni nchi kubwa

Hivi wewe, DRC sio nchi kubwa? Sio nchi huru?

Mimi naona wewe ndio unaweweseka. Kila kitu UKAWA. Hili linaloongelewa hapa linashusiana nini na UKAWA?
 
Ni Angalizo tu Lizaboni. Book saba yako iko pale pale. Kumbuka K ni mtaalamu sana wa manipulation. Unaona jinsi alivyoifanya katiba ya nchi yake.
Mkuu... Jamaa ni king wa manipulation, he can turn tables na kukudemonize pale anapoona huendani na matakwa yake

But I am sure M hamuangalii K kama idle bali anamuangalia kama mdau
 
Kauli za "M" juu ya Urafiki na "K" zinaonesha ni jinsi gani "M" anavyomzimikia "K". Lakini awe makini sana na urafiki huo, ili kulinda na kudumisha Usalama. "M" usimruhusu "K" afike mpaka chumbani unakolala.

Ni Angalizo la msingi sana. Sitaki kuongea mengi, lakini mwenye kutafakari ataelewa.

Nawasilisha.

Naunga mkono hoja. M awe makini na K kwa maslahi na usalama wa taifa letu. Naamini atakuwa analifahamu hili pamoja na wazee wetu wa kazi ila kumkumbusha sio vibaya.
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Uelewa wako mdogo sana
 
Hata madc alifanya Kazi kuwachuja ndo maana mpaka Leo wapo wote waliotangazwa mara ya kwanza, msalimie asenga
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Mbona una kiherehere? Nani kataja mambo ya Rais hapo? Kamuonya "M" kuwa makini na "K" hayo usemayo ni yako.

Uko kama Polisi ambao wabamshtaki Lissu kwa kashfa ambazo hajamtaja mtu ila kujihisi tuu.

Tumia akili, ukikuta jambo linazungumzwa kwa kutumia tafsida nawe tetea (kama kawaida yako) kwa kutumia style hiyo hiyo
 
Ikiwa W wameona kitu (mtazamo wa mbali sana) pande kuu zote W wanaumiza akili kuwa juu ya W nyingine, vichwa viwakilishi viwili, vikitizamwa na mamilioni nyuma yao. "aliye dhamini team, anatarajia faida kutoka katika team na team inatarajia faida kutoka kwa mdhamini"
 
Kikwete alikuwa sahihi sana kutofautiana na huyu jamaaa ila huko tunakoelekea saivi kwa kujikombakomba cdhani kama ni sawa hii
 
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Kuteua Mkuu wa wilaya alafu kumfukuza katikati ya maapisho ni 'uholela' au sio 'uholela'?
 
Kauli za "M" juu ya Urafiki na "K" zinaonesha ni jinsi gani "M" anavyomzimikia "K". Lakini awe makini sana na urafiki huo, ili kulinda na kudumisha Usalama. "M" usimruhusu "K" afike mpaka chumbani unakolala.

Ni Angalizo la msingi sana. Sitaki kuongea mengi, lakini mwenye kutafakari ataelewa.

Nawasilisha.
duuuh,hizo herufi ulivoandika nikaanza kuwaza ujinga wangu na weekend hii,kumbe mnaongelea mambo ya maana kabisa kwa mustakabali na ustawi wa nchi yetu,samahani kwa muanzisha uzi kwa kukurupuka na kutaka kuzitafsiri tofauti herufi zako za M na K..
 
Ni hatari sana sana urafiki huu. Mimi nahofia sana. Sidhani kama mwisho wake ni mzuri.
Yaani kwa K kuna wataalam wa IT kuliko hapa kwetu?

K ni mjanja sana, M anatakiwa kuwa makini.
 
duuuh,hizo herufi ulivoandika nikaanza kuwaza ujinga wangu na weekend hii,kumbe mnaongelea mambo ya maana kabisa kwa mustakabali na ustawi wa nchi yetu,samahani kwa muanzisha uzi kwa kukurupuka na kutaka kuzitafsiri tofauti herufi zako za M na K..
Umeeleweka mkuu.
 
mhhh M nilijua ni ....oo na K nilijua
....ma kumbe mwawaongelea wazee wa kaya
 
Back
Top Bottom