Angalizo kwa UKAWA

Angalizo kwa UKAWA

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Habari za jikoni kabisa nilipo mimi ni kwamba ccm itatumia dvd mbali mbali za viongozi wa ukawa pindi wakimshambulia mgombea wetu wakati akiwa ccm. DVD hizo zitawekwa pindi mkusanyiko wa watu unapokuwa umeanza kabla ya muda wa kuhutubia kuanza.

Naomba ukawa wasijibu mashambulizi kwani ccm hawata tangaza sera zaidi watatumia kipindi chote cha kampeni ku waatack ukawa. Ukawa inapaswa iwapuuze na zaidi wajikite katika kutangaza sera. Tupo wengi jikoni, tutazitoa mbinu za ccm kila tutakapo zipata
 
Habari za jikoni kabisa nilipo mimi ni kwamba ccm itatumia dvd mbali mbali za viongozi wa ukawa pindi wakimshambulia mgombea wetu wakati akiwa ccm. DVD hizo zitawekwa pindi mkusanyiko wa watu unapokuwa umeanza kabla ya muda wa kuhutubia kuanza. Naomba ukawa wasijibu mashambulizi kwani ccm hawata tangaza sera zaidi watatumia kipindi chote cha kampeni ku waatack ukawa. Ukawa inapaswa iwapuuze na zaidi wajikite katika kutangaza sera. Tupo wengi jikoni, tutazitoa mbinu za ccm kila tutakapo zipata
Noted!
 
Hawana jipya wasubir waone....mpaka polepole atalia na mgombea ...wake ...Edo amebeba ajenda za wananchi lazima apite.....
 
baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%


zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %


kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %

hivi kwa akili zako tu (i) kama 2010 Kikwete alipata 61% unafikiri CCM-Magufuri atapata zaidi ya hizo?
(ii) Watu wa pwani wamebadilika tofauti na wale wa miaka ya nyuma, CCM watashangaa kama walivyoshangaa kwenye SERIKALI ZA VIJIJI NA VITONGOJI. Mimi Nipo Mkoa wa PWANI WILAYA RUFIJI. CCM WAMESAMABARATIKA. YAANI HICHO CHAMA KIMEANZA KUTOWEKA TANGU MWAKA JANA
 
baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%


zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %


kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %
Tehetehetehetehe. Wapinzani wataisoma namba safari hii. Waache wapige mayowe huku wenzao wakipanga mikakati
 
hivi kwa akili zako tu (i) kama 2010 Kikwete alipata 61% unafikiri CCM-Magufuri atapata zaidi ya hizo?
(ii) Watu wa pwani wamebadilika tofauti na wale wa miaka ya nyuma, CCM watashangaa kama walivyoshangaa kwenye SERIKALI ZA VIJIJI NA VITONGOJI. Mimi Nipo Mkoa wa PWANI WILAYA RUFIJI. CCM WAMESAMABARATIKA. YAANI HICHO CHAMA KIMEANZA KUTOWEKA TANGU MWAKA JANA
Watu wa pwani hawawezi kumpigia kura fisadi Lowasa. Wamebadilika siku hizi. Wanampigia mtu ambaye atawaletea maendeleo na si wa porojo kama Lowasa
 
baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%


zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %


kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %

acha kufikiria kwa uharo ...2010 jk alipata 61 kwa kuchakachua unadhani magufuli si atapata 21%
 
watu wa pwani hawawezi kumpigia kura fisadi lowasa. Wamebadilika siku hizi. Wanampigia mtu ambaye atawaletea maendeleo na si wa porojo kama lowasa

mkuu mimi nipo hapa muhoro-wilaya ya rufiji huku ccm imeanza kutoweka, kuanzia, jaribu, bungu,kibiti, ikwiriri, nyamwage, muhoro mpaka utete. Ccm haipo mkuu. Watu wengi wamehama ccm. Hii sio siri jaribu ufike mpaka vijijini ni aibu. Kama pwani basi ni wilaya ya bagamoyo pamoja na mafia lakini sio mkuranga wala rufiji. Kata za ccm zimefungwa hazina tena watu. Sio siri hatuitaki kabisa ccm
 
hakuna kitakacho turudisha nyumaa!! lowassa hatetereki tenaa!!
labda warogee...!!
 
Maagizo ya CD tumeyapata. Wala hakuna atakayesikiliza. Watasikiliza wenyewe wanagamba.
 
Kama kujipambanua kisera, nadhani Magu ni zaidı ya Edo.Na CCM wako vizuri kujifafanua zaidi ya UKAWA ambao wao na mashabiki hujenga hoja wakıwa na jaziba kiasi cha wananchi kuwaona km mapunguani.
 
baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%


zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %


kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %

Nadhani huu utafiti uliufanyia lumumba toilet.Hivi unadhani maelfu ya wana ccm wanaohamia chadema hawapunguzi huu utafiti wako uchwara usio na chanzo chochote cha taarifa?kwa taarifa Lowasa ana 40% ndani ya ccm.yaani hao ni nje ya ukawa na wale wasio na chama.
 
baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%


zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %


kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %

Hayo ndo matokeo yatakavyokuwa.Watu wanajaa kwenye mikutana ya Edo kumwona huyu fisadi yukoje?Anaongeaje?Akili yake ikoje.Baada ya kumwona akıwa mdhaifu,hawezi kujieleza, akili inaonekana ya kawaida sana,WENGI wanaishia kusema'nilidhanı kuna kıtu, kumbe kelele za debe tupu'!!
 
nadhani huu utafiti uliufanyia lumumba toilet.hivi unadhani maelfu ya wana ccm wanaohamia chadema hawapunguzi huu utafiti wako uchwara usio na chanzo chochote cha taarifa?kwa taarifa lowasa ana 40% ndani ya ccm.yaani hao ni nje ya ukawa na wale wasio na chama.

wamasai; mpaka sasa ni 200 walitangazwa na itv ; viongozi 8

jumla 208


tumia bongo ; achana na redio mbao
 
Back
Top Bottom