Angalizo kwa mkuu wa majeshi CDF

Angalizo kwa mkuu wa majeshi CDF

pulex

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
513
Reaction score
2,038
Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe.

Kwasasa wanaweza kutokuwa na imani na ww baada ya taarifa isiyoeleweka kutoka JWTZ kuhusu captain Tesha, mgawanyiko wa Jeshini unaotokea ambao unakufanya ufikirie kuwaleta pamoja kwa kuwapa haki wananchi.

Walitegemea uwe unatoka adharani kama mkuu wa jeshi la polisi kutoa vitisho kwa raia kuhusu maandamano, hii kwao ndo ishara kuwa uko pamoja nao.

USIPOWAWAHI, WATAKUWAHI. CHUKUA HATUA HARAKA, HUSICHELEWE KAMA JPM WATAKUPOTEZA NA KUMUWEKA MTU WAO KAMA WA USALAMA WA TAIFA.
 
umemeza dawa zako leo?
 
Write your reply...kuna watu wanaropoka kumtishia jk wanadhali ni kama mbowe hahaha
 
Nacheeeka!
 
Attachments

  • JamiiForums26765864.jpeg
    JamiiForums26765864.jpeg
    41.7 KB · Views: 16
  • JamiiForums479954010.jpeg
    JamiiForums479954010.jpeg
    83.5 KB · Views: 17
  • JamiiForums926436156.jpeg
    JamiiForums926436156.jpeg
    56.8 KB · Views: 13
Kazi ya jeshi siyo kuzuia maandamano wenye mamlaka ya kutoa ulinzi kwenye mambo ya maandamano ni polisi, kwahiyo CDF hategemewi kutoka hadharani kutishia jambo ambalo lipo kwenye mamlaka zingine.
 
Kweli nimeamini maisha yamekuwa magumu!
Daaa "YAANI IDADI YA VICHAA INAONGEZEKA KWA KASI HVO KINYUME NA MATARAJIO?"
 
Jeshi la wananchi ndiyo taasisi imara yenye kujitegemea ki maamuzi . Hao wana mtandao ni ki sisimizi tu .
 
Hahaha iko siku kuna vichaa watajitoa muhanga atasanuliwa tu, hakuna mwamba mgumu kwenye moto.
 
Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe.

Kwasasa wanaweza kutokuwa na imani na ww baada ya taarifa isiyoeleweka kutoka JWTZ kuhusu captain Tesha, mgawanyiko wa Jeshini unaotokea ambao unakufanya ufikirie kuwaleta pamoja kwa kuwapa haki wananchi.

Walitegemea uwe unatoka adharani kama mkuu wa jeshi la polisi kutoa vitisho kwa raia kuhusu maandamano, hii kwao ndo ishara kuwa uko pamoja nao.

USIPOWAWAHI, WATAKUWAHI. CHUKUA HATUA HARAKA, HUSICHELEWE KAMA JPM WATAKUPOTEZA NA KUMUWEKA MTU WAO KAMA WA USALAMA WA TAIFA.
Wahuni hawana adabu,ni bora waadabishwe kabla kukuendeleza uhuni wao!
 
Back
Top Bottom